Najuta nikikumbuka nilivyokataa kuzima kamera ili wezi waibe mgodi wa Mzungu

Umefanya powaa Sana,huwenda sasa ungekuwa unaozea jela bro,ni taamaa ya mdaa mfupi ingeharibu Future
 
Kama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?
Sasa malipo si inategemea na unachozalisha?? Au mlikubliana elf 10 halafu akakupa elf 4??kama unaon huridhiki unamuachia kazi yake wafanyw wengine wanaohitaji kuliko kumuhujumu halafu kuumiza wngine wenye uhitaji wa kazi!!
 
Kama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?
Anawatunzia ili aje awagawie kilo ya mchele na nyama siku ya SikuKuu ya Idd. Na hapo atakuwa amefuta dhambi zote za dhuluma, swawabu zitajaa mpaka kumwagika, then ataanza tena.

Bepari hana rafiki kama mchawi tu! Pambafu!
 
Ni hakimu anamfunga mtu au sheria?
Hakimu ndiyo anaamua we unasikia mtanzania akifanya kosa ambalo kosa kama ilo kalifanya Mchina hukumu inakuwa tofauti utakuta mchina anafungwa mwezi mmoja au faini ya laki moja waki Mtanzania atafungwa miaka 20 pamoja na faini ya millioni 40, kosa hukumu fofauti.
 
Hakuna jamii isiyokuwa na wizi, Wachina wezi sana, Waarabu wezi, Wazungu wezi, kama hujawai kufanya kazi na jamii yaki Mataifa huwezi kulitambua ili.
 
Dawa ni kujiepusha sana na mambo yatakayoweza kusababisha ukala hizo mvua. Kwa nchi za kiafrika usijaribu kujihusisha na wizi mdogo mdogo utaishia jela. Kama umeamua kuwa mwizi jipange uibe mabilioni kama baadhi ya mafisadi.
 
Ni kweli kabisa mkuu, kuna jamaa alichoto kwenye kampuni ya muisraeli 150m, kesi kesi kesi mwishowe mwana akaachiwa. Ila alipiga kweli na sasa hivi maisha yake yapo juu ya mstari
Ukimuibia mgeni hapa Bongo kufungwa upande mwenyewe tu, kwanza mgeni kufatilia kesi Mahakamani ni ngumu na wao wenyewe wana makosa kibao wanajua wakifatlia kesi mambo yao maovu yata fichuka.
 
Ulifanya kitu sahihi mkuu, hutakiwi kujuta maana gharama yake ungejuta...
 
Why ilitakiwa hizo cctv zizimwe?ilitakiwa hizo camera zinazoface eneo la tukio zipindishwe kutoka eneo husika, ndivyo walivyofanya wenzako na sasa wanaishi maisha wewe unalalama,u snooze it .....,maisha bila to take risks ni vilio
Camera zilizowekwa kiustadi zinalindana.... lazima kamera ziangaliane...
 
Kama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?

Shida hapa sio Bakheresa, shida ni miongozo ya serikali ambayo inamuelekeza kulipa hivyo.
Japo kwa muongozo mpya wa malipo wa Nov, 2022 inapaswa iwe 5,770 shilingi kwa siku.
Lakini pia tukumbuke tuko kwenye ubepari na ili biashara ikue zaidi na ianfikishe faida zaidi inapaswa muhusika apunguze gharama za uendeshaji ikiwemo mishahara.
Provided halipi nje ya kiwango kilichowekwa na Serikali basi yuko sawa kabisa.
 
Kisicho Ridhiki Hakiliki
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…