Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
-
- #181
Madhara hayana umuhimu kama afya ni dhoofu!Kama ilivyo antibiotics zote unaweza kutengeneza resistence!!Kwani watu wenye HIV hupewa bactrime/septrin kama tiba opportunistic inffectons na nini madhara ya septrine kama ikitumiwa kwa muda mrefu
Hio dawa ya pili mkuu ni rabeprazole(ni PPI),fluconazole(anti-fungal) na heligokit ni trippelcure ya Peptic ulcers with positive Helicobacter pylori
Dosage ni:
- Aidha Protonpumpinhibitor + amoxicillin 1g × 2 + clarithromycin 500mg x 2 Kwa siku saba mfululizo
Tiba inaweza kurefushwa mpaka 2 weeks(Heligokit ina clarithromycin 250mg,tidinazole 500mg na lansoprazole 30mg)if im correct!So clarithromycin itabidi ule vidonge viwili mara mbili kwa siku na hivo vingine kimoja mara mbili kwa siku kwa siku saba!
- Au protonpumpinhibitor(lansoprazole au pantoprazole 40mg × 2 ) + metrodinazol 400mg /tidinazol 500mg x 2 + amoxicillin 750mg x 2 /clarithromycin 500mg x 2 kwa siku 7
Fluconazole unaweza kula na heligo kit,kisha baada ya siku 7 endelea na rabeprazole!Doctor je naweza kuzinywa zote kwa pamoja yaani heligo, rabeprazole na fluconazole kwa wakati mmoja? make nilipoenda kununua yule muuzaji kaniuzia heligo tu dozi ya kunywa siku 7 akaniambia ikiisha ndo nikachukue rabeprazole afu ndo maliza na fluconazole, eti hairuhusiwi kuzinywa kwa pamoja ila mie sijamwamini kabisa,
Fluconazole unaweza kula na heligo kit,kisha baada ya siku 7 endelea na rabeprazole!
Mtaalamu, nina tatizo la kukoroma nitumie dawa gani kwa tatizo hili
Nitajie active ingredient!Asante sana dokta hopefully other professionals watathubutu.Je ni sahihi kutibu UTI kwa AZUMA ya vidonge vitatu?Ubarikiwe!
Thanks kwa jibu Dr. na vipi kuhusu shampoo ya Ketoconazole.. ina madhara yoyote nikitumia huku napaka hiyo dermovate?Huo ugonjwa hauna tiba mkuu ni autoimmune disease.Dermovat inapunguza symptoms tu lakini haitibu ugonjwa!Inabidi ujufunze jinsi ya kuishi nao!
Haina neno mkuu....Thanks kwa jibu Dr. na vipi kuhusu shampoo ya Ketoconazole.. ina madhara yoyote nikitumia huku napaka hiyo dermovate?
You are the best!!Haina neno mkuu....
Hormone unbalance inasababishwa na kutawala kwa homoni ya kike estrogen au kuongezeka kwa homoni ya estrogen na mapungufu ya progesterone mwilini.Dr. hujanijibu swali langu. tafadhari Naomba kujibiwa.
Hormone unbalance inasababishwa na kutawala kwa homoni ya kike estrogen au kuongezeka kwa homoni ya estrogen na mapungufu ya progesterone mwilini.Estrogen inatengenezwa kwenye mayai na ina husika na kujamiiana.Ina husika pia na hedhi na inahakikisha mwili unakuwa katika hali ipasayo kwenye kipindi ambacho mwanamke anaweza kubeba ujauzito yaani akiwa fertile!Estrogen inahakikisha mayai yanapevuka ipasavyo kwenye follicle phase na progesterone inaharibu yai ambalo limepevuka na halikurutubishwa.Jinsi umri unavyokwenda ndivyo mayai(ovaries yanapunguza)uzalishaji wa estrogen na progesterone na kupeleka hormonal in balance.Tiba ni hormone replacement therapy
Kuna mtu nimemjibu kuhusu oligomenorrhea ambayo ipo classified kama amenorrhea isipokuwa amenorrhea inaweza kuanzia miaka 16 na hedhi inaweza ipotee zaidi ya miezi 6.Na jinsi inavyosababishwa nimeandika pia.Nikagusia polycystic ovarian syndrome(kupata viuvimbe/cysts vingi kwenye mayai) ambayo husababishwa na kuongezeka/disturbance ya homoni ya kiume(androgens) ambayo husaabishwa pia imbalance ya homoni nyingine kama estrogen. Hii hupelekea msawajiko ktk mfumo wa hedhi,kuota kwa ndevu au vinyoleo kwa wanawake,matatizo kwenye mfumo wa uzazi na hata kisukari(Diabetes Type II).Hali hio hujitokeza kipindi cha balehe mpaka miaka 19 na watu wenye tatizo hili mara nyingi wanasumbuliwa na uzito vilevile.owkey asanteh kwa ufafanuzi ingawa sijasikia baadhi ya hormone kama zile ambazo huzalishwa kipindi cha mwanamke anavoingia utu uzima .mfano zile zinazochochea mabadiliko ya mwili kama sauti na kifua tukiachana na izo ambazo ushazielezea. sasa kwa izo nilizoongelea zikiwa hazijabalance huleta effects zipi? na ni namna gani ya kutatua tatizo?