Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Ana fungus kwenye uke!Atumie clomatrizol 1% ointment + vaginal tablett !kuhusu kula udongo ni craving anayotakiwa aache coz udongo si kitu kinachohitajika kwenye mwili wa mwanaadamu hasa kwenye utumbo mpana/appendix thats a foreign substance!

Asante sana docta kwa msaada wako.
 
Una umri gani na wewe ni jinsia gani?
 

owkey asanteh!
 

owkey asanteh.
 
gorgeousmimi Ubarikiwe sana kwa msaada unaotupatia humu, naomba kujua zaidi juu ya hiyo tiba ya hormone replacement therapy iko vipi. Asante sana.
 
Last edited by a moderator:
gorgeousmimi Ubarikiwe sana kwa msaada unaotupatia humu, naomba kujua zaidi juu ya hiyo tiba ya hormone replacement therapy iko vipi. Asante sana.
Ahsante everlenk,
Hormone replacement theraphy inatumika kwa watu waliofikia menopause.

Haishauriwi kutumika kwa watu waliofertile kwa sababu inaoongeza risk ya kupatikana kwa cancer ya kizazi,breast cancer, tromboembolism na hata osteoporosis. Na hapa hormones zinazohusika ni estrogen na progesterone.

Androgen therapy ni njia nyingine ya hormone therapy inatumika kwa watu wenye hypogonadism au wenye matatizo ya nguvu za kiume kutokana na magonjwa n.k
 
Last edited by a moderator:
nina mabaka usoni yaliyotokana na chunusi.nin tiba yake?
 

salito na gorgeousmimi ngoja nitoe msaada hapa;

Ulaji wa udongo au barafu mara nyingi huusishwa na upungufu wa madini chuma mwilini...

Mara nyingi tabia hii huoneshwa sana na wamama wajawazito kwa kuwa kipindi cha ujauzito mwanamke huwa na uhitaji sana wa madini chuma...

Kwa kawaida madaktari hutoa prescription maalumu ya tembe za madini chuma na huwa ni kidonge kimoja kwa siku...

Onyo usinywe vidonge vya madini chuma pasipo ushauri wa daktari kwanza...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu asante kwa thread hii ukiyoianzisha..hakika ni msaada wa bure na wa kitaalamu..huwa Nina tatizo la tonsils tangu mdogo ...huwa tatizo linakuja na kutoweka.je nitumie dawa gani ili tatizo hili liishe?hapa SAA 8 hii uck nimebanwa haswa nimeamka nikameza panadol tu ila ucngz umegoma tangu SAA 6 na asbh natakiwa kibaruani.nitashukuru mku.

Mungu akubariki sana
 
aisee huu uzi umenikosha sana...

Naomba tu unisaidie nini madhara ya kutumia dawa kama FUROSEMIDE kwa muda mrefu.
 
Dr. Naomba ushauri kwenye bandiko hili!

 
Habar yko dkt...? nina tatizo la kupata ganzi baadhi ya sehemu kwenye mwili wng,hususan kwenye sehemu za mikono,miguu na shingo!! naomba unijuze nn hasa chanzo cha tatzo hli?
 

Nashukuru sana kwa majibu ya ufasaha,nimekuelewa.Sasa naomba kujua tiba ya awali kwa mtu anayeanza kulipata hilo tatizo,yaani mfano leo sukari inakuwa juu kesho inakuwa chini,yaani ina-fluactate
 
Njia pekee ni kufanya operation ya kuondoa hizo tonsils….
 
aisee huu uzi umenikosha sana... Naomba tu unisaidie nini madhara ya kutumia dawa kama FUROSEMIDE kwa muda mrefu.
Madhara ya furosemid ni kusababisha electrolyte unbalance kwasababu inaongeza release ya sodium, potassium, chloride, calsium na magnesium.

Low levels za potassium ions zinaweza kusababisha matatizo kwenye rhythm ya moyo.Ni muhimu kupima serum levels ya potassium na kupatiwa potassium supplement ukitumia furosemid.
 
Mguu wa kulia una ganzi zaidi ya mwaka sasa..
1. Nini madhara ya ganzi kwa muda mrefu?
2. Tiba ni nini?
 
Nashukuru sana kwa majibu ya ufasaha,nimekuelewa.Sasa naomba kujua tiba ya awali kwa mtu anayeanza kulipata hilo tatizo,yaani mfano leo sukari inakuwa juu kesho inakuwa chini,yaani ina-fluactate
Tiba ya Diabetes type 2 ni vidoge.First choice ni Metformin/Glucophage:

Hii inashusha bloodglucose kwa kupunguza uzalishaji wa glucose kwenye ini na hatimae kupunguza release of glucose kwenye dam.Vilevile inasaidia glucose iende zaidi kwenye mifupa na zina effect tofauti kwenye triglycerides.

Kama upo overweight ni kawaida pia kupewa metformin.Sulphonylureas ni dawa nyingine inasaidia release ya insulin kutoka kwenye pancreas mfano wa dawa hizi ni glibenclamide, glimepiride.

Glitazones(thiazolidnediones) inasaidia bodycells ziwe sensitiv na insulin na zinasaidia realse ya insulin kama sulphonylureas.

Zipo pia dawa nyingine kama DPP-4-inhibitors(Gliptins)n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…