Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Dr. Naomba ushauri kwenye bandiko hili!


Mabandiko yangu haya hujayajibu bado na nasubiri majibu. Natanguliza shukrani.
 
hata mamaangu anasumbuliwa na jambo hilo mkuu. akapima na kuambiwa ni ugonjwa wa baridi
 
Asante mkuu..ila ningeomba maelekezo ni hospitali gani kwa Dar naweza kupata Dr bingwa wa magonjwa ya koo ili niweze kwenda maana kikohozi kinanitesa na ni muda mrefu sasa.Natanguliza shukrani
 
Kikohiozi ni kikavu wala hakina makohozi ila kwasababu ila asubuh ninapopiga mswaki nakuwa kama nataka kutapika yanatoka some sort of makohozi yakiwa yamechanganyika na damu .hili linanipa wasiwasi.naomba msaada wako mkuu
 
Naamini alivyoshauriwa na daktari ndivyo alivyopaswa kuvitumia!Mimi sitaki kujihusisha ktk hili!Anatoa mimba kwaajili gani?
Mambo dokta?nini dawa/tiba ya mwenye tatizo la kujaa mate mdomoni anapokuwa kalala.usafi wa kinywa unafanyika sana atumie dawa gani
 
Doctor
#gorgeousmimi ... on the side effects hiyo diabetic impact is it permanent au temporal I once used this med..I ended up urinating frequently nlivoacha nikarudi katika hali ya kawaida... I was prescribed of a almost one week n something dosage...
 
#gorgeousness
reason for being prescribed of this medicine was I had a patch n still it is on skin a round one more darkish (like mtu alovilia dam) compared to my skin It started as a lil one as it is on the one side of my back the time I noticed it thought it would disappear... a time passed likely months if nat a yr ahead I noticed it has increased in size hapaumi wala hapa washi papo tuu.. what could possibly be the problem.
Thank you.
 
DR hivi ni tiba ipi nzuri kwa mtu aliyekua na vijipande vya mawe katika figo na mtu kama huyu ana hitajika asitumie vyakula gani ili kuweza kutatua tatizo na nini chanzo cha huu ugonjwa.......
 
Kikohiozi ni kikavu wala hakina makohozi ila kwasababu ila asubuh ninapopiga mswaki nakuwa kama nataka kutapika yanatoka some sort of makohozi yakiwa yamechanganyika na damu .hili linanipa wasiwasi.naomba msaada wako mkuu
Hio ni dalili mojawapo ya cancer ya mapafu mkuu please wahi hosp mm siwezi kukusaidia zaidi ya nilivyokusaidia.Kila la kheri!!
 
Yah it is a sideeffect.How serious the side effect is inategemea na muda uloutumia dawa na kiasi ulichotumia.But in your case its just temporal.
 
Nitakujibu nikiwa na nafasi una haraka sana nenda hosp iliyokaribu yako.Ahsante!
labda uniambie utanijibu.......ila kusema nina haraka na ka vipi niende kwenye hosp iliyokaribu naona kama umekuwa-harsh kwangu.unless otherwise ungebadili heading ukasema wenye matatizo waende kwenye hosp zilizokaribu nao.btw am sorry for disturbing.
 
Narudia tena nitakujibu nikiwa na wasaa wa kukujibu kama tatizo lako ni la dharura wahi hosp iliyo karibu yako!Wewe mwenyewe huna utashi wa kufikiri kama unatakiwa uwe na subira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…