Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
- Thread starter
-
- #321
Polycystic ovary inatokana kwenye ugonjwa unaoitwa POLYCYSTIC OVARY SYNDROME(PCOS).Vipi kuhusu polycystic ovary?
Naweza kushika Mumbai?
Hello FORWARD,Natanguliza shukrani kwa msaada unaotoa kwa jamii. Nina tatizo la kutoka vipele sehemu za mikono na miguu, vikipasuka vinakauka na hiyo sehemu inatoa alama kama ya mapunye (mduara), Je mapunye hutokea sehemu yoyote ya mwili ukiacha kichwani? Na dawa gani inaweza kunisaidia?
Polycystic ovarie inatokana kwenye ugonjwa unaoitwa POLYCYSTIC OVARY SYNDROME(PCOS).Polycystic ovary inaweza kujulikana kupitia kwenye ultrasound na dalili nyingine ambazo nimeziorodhesha chini.Wanawake wote wana follicles kwenye mayai na kila mwezi kundi la follicles linatengenezwa ambalo lina follicle mmoja inayotawala na kupevusha yai.Wanawake wenye PCOS wanakuwa na follicles nyingi ndogo ambayo hazina uwezo wa kupevusha yai kila mwezi.Na hizi follicles zinashindwa kukua kawaida kutokana na hormonal imbalance.Na kwasababu yai halipevuki kama linavyotakiwa inasababisha wanawake wenye ugonjwa huu kupata shida kubeba ujauzito.
View attachment 239703
View attachment 239704
Ovary(Jinsi follicle inavyopevusha yai)
Utajuaje kama una PCOS
- Irregular periods:Siku za hedhi zisizo na mpangilio.Mara nyingi wanawake hawa hupata jumla ya menstruation period 6-8 kwa mwaka.Wanaweza kupata hedhi ya kawaida kwa miezi kadhaa kisha kuruka mwezi au miwili au kuenda miezi kadhaa bila ya kuona siku za hedhi.Watu wenye tatizo hili wanashida kupata mimba kutokana na siku za hedhi kuwa irregular na hata wakishika mimba kuna risk ya hio mimba kutoka.
- Kuongezeka kwa andorgens/testosterone(homoni za kiume) mwilini,hii inaweza kuonekana kwenye damu kwa vipimo tofauti au kwa dalili kama kutokwa na chunusi nyingi(ngozi kuwa na mafuta mengi),vinyoleo kukua kwa wingi mf wanawake wanaoota vinyoleo usoni au kifuani.
- Polycystic ovaries:hii inaonekana kwenye ultrasound
Cc babuukikolo
Hello Bulldog,Habari yako.
1. Naomba unisaidie njia ya kitaalamu na safe ya kuondoa tatizo la kusweat sana.
2. Pia tatizo la kuondoa mafuta mengi kwenye ngozi.
3. Nywele zangu nyepesi sana halafu si nyeusi sana. Naomba msaada wa kitaalamu wa kuzifanya ziwe nzito na nyeusi.
Kwa maana hio huna tatizo mkuu!Mabadiliko ya mazingira na ya kimwili,ya kimaisha ,matumizi ya njia za uzazi wa mpango pia yanaweza kusababisha menstruation kuwa irregular.Na kama unashaka sana kuhusu hormonal imbalance nakushauri uende hospitali ukachukue vipimo ili kupata uhakika.Mimi cjawahi kuvusha mp ingawaje imekuwa irregular..naweza kutumia tiba gani?
Ahsante sana kila la kheri mkuu!​Mkuu asante sana nimekupata vilivyo ntafanyia kazi ushauri wako shukran May God Grant More skills Mkuu
Nakushauri ukamuone mwanasaikolojia nadhani umri wako utakuwa mdogo pia....ukiwa na experience zaidi uoga na aibu itaondoka taratibu!!nipo hv mara nyingi, utakuta akiondoka ndio namuhtaji haswa, nashindwa kuelewa njia ya kujinasua na aibu hii, msaada wako mkuu
Nakushauri ukamuone4\ mwanasaikolojia nadhani umri wako utakuwa mdogo pia....ukiwa na experience zaidi uoga na aibu itaonZdoka taratibu!!
AW
nipo hv mara nyingi, utakuta akiondoka ndio namuhtaji haswa, nashindwa kuelewa njia ya kujinasua na aibu hii, msaada wako mkuu
Umetumia dawa gani mpaka sasa?Maradhi yangu ni ngozi - ambayo maradhi haya huitwa kwa jina psoriasis - niko nayo
maradhi haya muda mrefu sefu na nimeisha tumia dawa nyingi bila faida.
So naomba muelekezo..
Inaonekana una hyperpigmentation kwenye ngozi na inasababishwa na jua, inflammation au majeraha kwenye ngozi.#gorgeousness
reason for being prescribed of this medicine was I had a patch n still it is on skin a round one more darkish (like mtu alovilia dam) compared to my skin It started as a lil one as it is on the one side of my back the time I noticed it thought it would disappear... a time passed likely months if nat a yr ahead I noticed it has increased in size hapaumi wala hapa washi papo tuu.. what could possibly be the problem.
Thank you.
Siwezi kusema aibu ni ugonjwa.Ila ikifikia hali inaathiri maisha yako ya kila siku na utendaji wako wa kazi na majukumu tofauti naweza kusema imedevelop kuwa fear au anxiety.Na ndio zipo tiba za fear au anxiety!Aibu ni ugonjwa wa kibiolojia au ni tatizo la kurithi? Ni njia gani ya kuondokana na aibu?
Umetumia dawa gani mpaka sasa?
Samahani mkuu hio psoriasis ipo kwenye sehem gani ya mwili??Inaonekana una therapy resistent psoriasis.Nimetumia daivobet sana na canesten na benovate na eliscal creams na elocom na betnovate.
Habari mkuu, mimi ni mwanamme miaka zaidi 30 npo kwenye mahusiano muda sasa paspo kuwa baba. Nilipo fanyiwa uchunguzi wa kimaabara nikaonekana kuwa na tatzo hasa azoospermia!, nikashauriwa kufanya vipimo zaidi hasa kuangalia hali ya vichocheo mwilini hasa FSH, LH na TESTOSTERONE. Na haya ni matokeo ya vipimo FSH 21.42miu/ml, LH 11.63miu/ml na TESTOSTERONE 6.36ng/ml kwa mujibu wa specialist ilionekana uwepo wa tatzo kwa viwango hivi wa vichocheo ( kuzidi kuliko kawaida) na kuonekana suala hili kutorekebishka hapa nchini na kufanya uchunguzi wa kina! kwa kweli sipo vizuri kutokana na majibu hayo na mara tu baada ya kugundulika na tatzo hili, ukizingatia wataalamu wetu hawapo tayari kuulizwa maswali mengi ya kidadisi. tafadhali naomba maelezo ya kina (mechanism) kwa vipi vichocheo vinavyoweza athiri uzalishaji wa mbegu, kama kuna namna yeyote ya kudeal na suala hili hapa nchini, ahsante. Nasubiri.Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana..
Habari mkuu, mimi ni mwanamme miaka zaidi 30 npo kwenye mahusiano muda sasa paspo kuwa baba. Nilipo fanyiwa uchunguzi wa kimaabara nikaonekana kuwa na tatzo hasa azoospermia!, nikashauriwa kufanya vipimo zaidi hasa kuangalia hali ya vichocheo mwilini hasa FSH, LH na TESTOSTERONE. Na haya ni matokeo ya vipimo FSH 21.42miu/ml, LH 11.63miu/ml na TESTOSTERONE 6.36ng/ml kwa mujibu wa specialist ilionekana uwepo wa tatzo kwa viwango hivi wa vichocheo ( kuzidi kuliko kawaida) na kuonekana suala hili kutorekebishka hapa nchini na kufanya uchunguzi wa kina! kwa kweli sipo vizuri kutokana na majibu hayo na mara tu baada ya kugundulika na tatzo hili, ukizingatia wataalamu wetu hawapo tayari kuulizwa maswali mengi ya kidadisi. tafadhali naomba maelezo ya kina (mechanism) kwa vipi vichocheo vinavyoweza athiri uzalishaji wa mbegu, kama kuna namna yeyote ya kudeal na suala hili hapa nchini, ahsante. Nasubiri.
Hello mkuu,Habari mkuu, mimi ni mwanamme miaka zaidi 30 npo kwenye mahusiano muda sasa paspo kuwa baba. Nilipo fanyiwa uchunguzi wa kimaabara nikaonekana kuwa na tatzo hasa azoospermia!, nikashauriwa kufanya vipimo zaidi hasa kuangalia hali ya vichocheo mwilini hasa FSH, LH na TESTOSTERONE. Na haya ni matokeo ya vipimo FSH 21.42miu/ml, LH 11.63miu/ml na TESTOSTERONE 6.36ng/ml kwa mujibu wa specialist ilionekana uwepo wa tatzo kwa viwango hivi wa vichocheo ( kuzidi kuliko kawaida) na kuonekana suala hili kutorekebishka hapa nchini na kufanya uchunguzi wa kina! kwa kweli sipo vizuri kutokana na majibu hayo na mara tu baada ya kugundulika na tatzo hili, ukizingatia wataalamu wetu hawapo tayari kuulizwa maswali mengi ya kidadisi. tafadhali naomba maelezo ya kina (mechanism) kwa vipi vichocheo vinavyoweza athiri uzalishaji wa mbegu, kama kuna namna yeyote ya kudeal na suala hili hapa nchini, ahsante. Nasubiri.
Hello mkuu,
Gonadotropes(GONADOTROPIN-RELEASING HORMONE)GnRH ni hormone inayozalishwa kutoka kwenye anterior pitutiary iliyopo kwenye hypothalamas(ubongo).Gondotropes inatoa vichocheo vinavyofanya kazi kwenye mfumo wa uzazi wa kike(ova) na wa kiume(testes).FOLLICLE STIMULATING HORMONE(FSH) ni hormone mojawapo inahusika uzalishaji wa mbegu za kiume.LUTENIZING HORMONE (LH)ni hormone nyingeneyo inayochochea interstital cells of leyding zilizopo kwenye testes kusecrete testosterone(hormone ya kiume).
Azoospermia ni ugonjwa unaotokea pale mwanaume anapokuwa hana sperm count zinazohesabika kwenye semen.Huu ugonjwa umegawanyika kwenye makundi makubwa matatu
View attachment 240208
- Pretesticular azoospermia:Kundi hili wanakuwa na hypogondatrope hypogonadisme ambapo hawana release ya kutosha ya gonadotropin-releasing hormone kutoka kwenye ubongo.Wanakuwa na low levels ya FSH,LH na testosterone.Tiba ni kwa gonadotropinderivates/analogue.
- Testicular azoospermia:Kundi hili aidha kuna abnormality kwenye testes,mapungufu kwenye uzalishaji wa mbegu za kiume au hata kutokuwepo uzalishaji kabisa.Level za FSH/LH zinakuwa juu na kusababisha Hypergondatrop hypogonadism.Abnormality kwenye testicles inasababisha mbegu kutoweza kupevusha ipasavyo.Testicular retention ni sababu nyingeneyo ambayo watoto wa kiume wanazaliwa nayo.Geminal cells zipo sensitive na temperature na ndio maana mbegu zinakuwa defect na kuharibika kabla hazijafika kwenye korodani.
- Posttesticular azoospermia:Kundi hili wanatengeneza mbegu lakini hazitoki through ejaculation.Na wapo wanaozaliwa na mapungufu ya vas deferens(njia ya kutolea ejaculation)(Congenital bilateral absence of the vas deferens) au retrograd ejaculation ambapo mbegu za kiume baada ya kwenda kwenye urethra zinaenda kwenye urinary bladder na kusababisha mbegu kuwepo kwenye mkojo.Tiba ni dexbromfeniramin kwa wenye retrograd ejaculation.
View attachment 240194
**Anejaculation:ni uwezo wa kutozalisha mbegu kwa wanaume
**Orichitis:Inflammation kwenye testes inayosababishwa na infection kama STD´s n.k
**Vasectomy:Njia ya kufunga kizazi kwa wanaume
**Epididimytis:inflammation kwenye eneo ambazo mbegu za kiume zinazalishwa na kuegeshwa.Inasababisha maumivu,kuvimba na korodani kuwaka moto.
View attachment 240203
Pretesticular na posttesticular azoosermia vinarekebisihika lakini testicular ni irreversible and permanent.Tiba mojawapo ni kwa IVF(In vitro fertilization) + ICSI(Intro cytoplasmic sperm injection).Ambapo mbegu zinachukuliwa kutoka kwenye testicles na kutumika kuegesha ujauzito.
samahani mkuu hio psoriasis ipo kwenye sehem gani ya mwili??inaonekana una therapy resistent psoriasis.
Nakushauri ujaribu acitretin(neotigason) since umeshatumia glucocorticoids pekee bila mafanikio.na naona umetumia daivobet pia ni combination ya calsipotriol (vitamin d[sub]3[/sub] analogue)+ bethamethasone(glucocorticoid).
acitretin(neotigason) dosage ni 10-75mg per day.unakula capsule mmoja pamoja na maziwa au chakula.dawa hii unaweza kuandikiwa na daktari wa ngozi.
Kama psoriasis ni ya mikono then tiba ni alitretionin(toctino):30mg per day for 3-6 month.kwa watu wenye kisukari,high cholesterol,matatizo ya moyo na obesity dosage inatakiwa iwe 10 mg per day.
acitretin na alitretionin zina precautions zake ni muhimu kutambua hayo kabla ya matumizi hasa kwa fertile women.zina teratogenic effect.
Kama una psoriasis ya kichwa nakushauri ditranol.
Siwezi kusema aibu ni ugonjwa.Ila ikifikia hali inaathiri maisha yako ya kila siku na utendaji wako wa kazi na majukumu tofauti naweza kusema imedevelop kuwa fear au anxiety.Na ndio zipo tiba za fear au anxiety!