Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #121
naam uko sahihi .Huyo maana yake ndie pacha wako safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naam uko sahihi .Huyo maana yake ndie pacha wako safi sana
DahUlivyo na mdomo! Si utanisimanga kila siku
Tuko mikoa tofauti kabisa ndo shidaJaribu kupatana nae, andaa hata kalamu ya chakula nyumbani kwenu.
Mwambie mama ako Kama yupo, awa alike yeye na familia yake. I'm sure mta ongea.
kila Mwaka na organise family gathering, na vile wote bado wadogo.Tuko mikoa tofauti kabisa ndo shida
Ngoja Nashughulikie hilikila Mwaka na organise family gathering, na vile wote bado wadogo.
Basi tuna jumuika.
Ongea na mama ako, ili aandae chakula Cha familia. Kisha awa alike.
fanya na maombi pia, no barrier will stop you.Ngoja Nashughulikie hili
Tufanye sasa Barter Trade Mkuu 🤣Moja ya zawadi bora nilizopata kwenye maisha yangu, ni mdogo wangu wa mwisho. Hadithi muhimu ni kwamba alikuja katika wakati ambao hatukutarajia.
Mama yangu ni mtu ambaye anapenda watoto sana, ila Moja ya maombi yake makubwa ili kuwa apate mtoto wa kike lakini kwa bahati nzuri au mbaya, hilo hali kuweza kutokea hadi miaka 10 baadae.
Kama wanae aliotulea, hiyo story ya mtoto wa kike tuliisikia sana, so unaweza imagine alipokuja ilikuwa ni furaha kubwa sana. Jambo muhimu ni kwamba mimi na yeye tuna chemistry muhimu, I won't lie (tangu akiwa na miaka 2, amekuwa rafiki yangu bora Sana.)
Sometimes namwita mama, dada, toto. Kutokana na majukumu ya ki-jobless pro max, Mimi na yeye kuonana ni Mara chache Sana kwa Mwaka. Huwa nina zungumza nae Mara kwa mara, mnunulia zawadi, cheza nae. Best moment of mine.
Nikaamua likizo hii niitumie na familia, na kusema ukweli ni sehemu hii ni kumbukumbu bora Sana. Japo ni kaka yake, ila najivunia kusema yeye ni zawadi bora Sana kwenye maisha yangu. Nitaitunza, ijali na kuilinda katika maisha yangu Kikubwa heri na uzima utawale.
I mean no malice to anybody.
View attachment 3196722
View attachment 3196724
dogo be careful, before I purchase a gun😆😆.Tufanye sasa Barter Trade Mkuu 🤣
takuwa kaka yako kuanzia Leo ........ Sawa dadanguNawaonea wivu watu wenye kaka
napiga panga na mishale, nita kupasua niku vunje😆😆
miaka 9 broAna umri gani, maana inapofika balehe hapo ndipo unaona picha kamili ya mtu.
Sawa kakaNi
takuwa kaka yako kuanzia Leo ........ Sawa dadangu
Kwani una umri gani?!Watoto ni zawadi bora kwenye maisha, nafurahi nime lijua hilo nikiwa mdogo Sana.
View attachment 3196727
Basi hapi utamuenjoy sana, lakini pia jitahidi kumuweka sawa umuandae na life la balehe.miaka 9 bro
Bro hiyo ni kesi ya uhaini sasa hata kwenye kuua kukusudia umevuka🤣napiga panga na mishale, nita kupasua niku vunje😆😆
Karibu you are not alone....... we are family 👊Sawa kaka