Nakosa usingizi kwa kuwaza hili jambo, Wazoefu naomba ushauri wenu

mtihani mkuu dah haya maisha haya..
 
Si bora hata wew kukuambia atajihudumia mwenyewe.
hapo hakuna uhakika. Inawezekana sana yeye akakataa lakini mtoto akipata umri kidogo tu akadai haki ya matunzo kutoka kwa baba yake. Au hata pengine mama akapata bahati mbaya ya kukosa ajira kwa kipingi fulani akenda mahakamani na kuomba baba atoe fedha za matunzo ya mtoto.
 
Ukiowa wanawake wa hivi ukienda kazini unakuwa na mashaka,mawazo sonona😂 bongo hii🙌
 
hili linawezekana pia na anaweza kunivuruga mambo yangu mengi mno natafuta njia ya kulizima hili jambo kimya kimya..
 
"yaani kwakuwa si kitu nilichotegemea kumsaliti mke wangu mpaka kuzaa nje ya ndoa"

Haya maneno yako yana ukakasi sana
Ulipoanza mahusiano mapya hapo ulikuwa tayari umemsaliti

Ulidhamiria na hakuna aliekulazimisha bali ni matamanio yako tu
Umelikoroga na utaumbuka haswa maana wazungu sio wanafiki na atamueleza mke wako ukijifanya mjuaji
Sipendi usaliti kabisa naona kama umemchoma kisu cha mgongo mke wako
 
Hivi viumbe wa hivi bado mpo? mbinguni moja kwa moja,,barikiwa sana
 
mbona umengoea kwa makasiriko hivi mkuu seems ni mimi tu nachepuka humu duniani.. dah haya sawa wacha nilinywe.. ntafanyaje sasa
 
Be Gentle jombaa! Muombe radhi waifu kuna mahali umeteleza!,atanuna mwishowe ataukibali ukweli life litasonga! Usiwe boya kama yule naibu waziri anamkimbia mkewe na kwenda kusababisha ajali huko mbele...Pambana.
 
Una Utovu wa nidhamu wewe kavulana,,,subiri ukue hadi ufikie uwanaume kesi kama hizo ni nyepesi sana,,,Amua Kwa Akili,,,achana na vijisihisia vya kipuuzi!!Farlaahh nini???
 
Kwa Wanaume ni kawaida ila ingekuwa ni Mwanamke ingekuwa habari nyingine, hapo umeshaharibu jitahidi kadri uwezavyo kuokoa Ndoa yako.
 
Una Utovu wa nidhamu wewe kavulana,,,subiri ukue hadi ufikie uwanaume kesi kama hizo ni nyepesi sana,,,Amua Kwa Akili,,,achana na vijisihisia vya kipuuzi!!Farlaahh nini???
asante mkuu.. yote heri
 
Kwa Wanaume ni kawaida ila ingekuwa ni Mwanamke ingekuwa habari nyingine, hapo umeshaharibu jitahidi kadri uwezavyo kuokoa Ndoa yako.
asante mkuu hili la ndoa ndio nalopigania zaidi lisiende kubaya.. huku kwenye ndoa kuna hazina zangu nyingi ikivurugika inaweza kunisambaratisha vibaya sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…