Nakosa usingizi kwa kuwaza hili jambo, Wazoefu naomba ushauri wenu

Wacha uwoga bwana wewe sasa kwani wife akijua wats the worse that could happen? Pasu kwa pasu? Sii unaanza kutafuta na mfinish huyo mzeya usiogope wee mchana wife ukweli kuwa nimezalisha nje huko
 
mbona umengoea kwa makasiriko hivi mkuu seems ni mimi tu nachepuka humu duniani.. dah haya sawa wacha nilinywe.. ntafanyaje sasa
Pole sana, pia nisamehe kwa ukali wa maneno
Ila umesema sio kitu ulichotegemea

Ukumbuke hiyo sio ajali bali ulifanya mwenyewe kwa ridhaa yako ukiwa mzima
 
Wacha uwoga bwana wewe sasa kwani wife akijua wats the worse that could happen? Pasu kwa pasu? Sii unaanza kutafuta na mfinish huyo mzeya usiogope wee mchana wife ukweli kuwa nimezalisha nje huko
asante mkuu ila yataka moyo sana kuna mambo yatapungua na vurugu zitaanzia hapo si unajua wanawake.. mimi ni mtu ambaye nishavurugwa sana mapenzi kabla ya kumpata huyu mke wangu sasa hili jambo linanipa wasiwasi linaweza kwenda kunirudisha kule kule kwenye maisha yangu ya zamani kitu ambacho sitaki kurudi kule ntapoteza kila kitu nilichokipambania kwa muda mrefu.. kuishi kwenye nchi za watu na familia kuwa stable si jambo jepesi mkuu
 
Pole sana, pia nisamehe kwa ukali wa maneno
Ila umesema sio kitu ulichotegemea

Ukumbuke hiyo sio ajali bali ulifanya mwenyewe kwa ridhaa yako ukiwa mzima
sawa mkuu but nilifanya ndio ila sikukusudia nizae na mtu mwingine nje ya ndoa yangu but shit happens like this way..
 
nka jua ata ni mtaa mmoja kumbe una vuka boda kabsa asee.kula maisha mimba sio ugonjwa
Atulie apige kimya.uzuri demu alishaambiwa kuwa jamaa Ana MKE,akategesha ikaingia.
Atulie,tyu.kukaa kimya ni busara Sana
 
Kaka yangu DeepPond Hana baya,baba J wa watu
Huenda wewe ni yule mchep wa Mbagala, fundi cherehani, mwenye pakt za kazi uvunguni😂😂😂
Malizia ilikuwaje?
 
Usaliti saliti ndio uliopelekea Israel kuwa ni Taifa lenye watu walaghai na wenye mioyo migumu mpaka kiama kiwakute.
Hata kizazi chao hakikufanikiwa kumpata Nabii mfalme wa wafalme Yesu Kristo na Mwokozi wa Ulimwengu. Mungu akakata mtiririko wa kizazi Cha manabii na kumketa Yesu aliyetokana na Uwezo wa Mungu Mwenyewe Kwa njia ya Roho Mtakatifu na kumzaa Mtoto asiyetokana na tendo la ndoa Tena akazaliwa na Mwanamke bikira ambaye hajawahi kuingiliwa na mwanadam.

Kwa hiyo kujifananisha na Suleimani ni kujifananisha na uzao uliojaa ukaidi na ulaghai.
 
Nimetaja mchaga kwasababu mnawasakama sana wanawake wa huko Tanzania kaskazini but sikuwa na nia mbaya kutaja kabila hapo mkuu.. nipo hapa natype type tu sielewi..
 
Unaishi canada, huko finland uko kwa miezi mitatu. Je baada ya huo muda mapenzi yenu yatakuwaje? Mmepanga muwe mnakutanaje?
 
Nimetaja mchaga kwasababu mnawasakama sana wanawake wa huko Tanzania kaskazini but sikuwa na nia mbaya kutaja kabila hapo mkuu.. nipo hapa natype type tu sielewi..
Acha wengine wawadhalilishe kwako ni tunu ndio maana umemweka ndani
 
Ukiaminika jiaminishe, je utajisikiaje mkeo nae ukamkuta na mimba ambayo si yako!!?[emoji15]! Vaa viatu vya mkeo mwombe Mungu msamaha na kimbia UFE jipange vizuri la sivyo unaenda kubomoa nyumba yako kwa mikono yako mwenyewe pole sana.
 
Unaishi canada, huko finland uko kwa miezi mitatu. Je baada ya huo muda mapenzi yenu yatakuwaje? Mmepanga muwe mnakutanaje?
mkuu its too complicated coz nikitoka hapa finland naelekea canada kama mwezi mmoja then naenda Spain kwa miezi sita mingine naheshimu hiyo mimba kwasababu ya huyo kiumbe aliye tumboni mwake ila sidhani kama tutakuwa karibu tena though ana uwezo wa kunifuata popote labda nikimbilie Tanzania nikachijimbie Mwanza ndani ndani huko kitu ambacho hakiwezekani kiuhalisia..
 
Oa mzungu achana na huyo mchagga
kumuoa inawezekana ila ndoa haitadumu wazungu si watu wa kukaa kwenye ndoa muda mrefu na mwafrica... ni bora kubaki na niliyeanza naye maisha tu nikimwacha ntaangamia zaidi.. marriage convenant
 
Polesana kunamtu ilimkuta hiyo mama wa mtoto hakuomba child support na alilea mtoto mwenyew lkn na mkewe ni miak zaidi ya 10 mkewe hajawahi kumuelewa licha ya mtoto kutomlea na hakuhusishwa na child support kabisa so inategemea na mwanamke na shida ya mke ni kufikiria Mali walizonazo kushare na mtoto wa nje ya ndoa now kilamtu na mamboyake kuhusiana na uchumi wa familia imebaki kiapo Cha ndoa tu

Ila omba msamaha tu IL Kuna mawili kusave ishu au kujichimbia kaburi
 
Mambo ya wazungu hayo ya open marriage 🙏kula chuma mdau umeulaaa🤣🤣mweleze mkeo unayemfuga,akizingua Piga chini endelea na mfinland ila usitelekeze watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…