Nakosa usingizi kwa kuwaza hili jambo, Wazoefu naomba ushauri wenu

Mambo ya wazungu hayo ya open marriage 🙏kula chuma mdau umeulaaa🤣🤣mweleze mkeo unayemfuga,akizingua Piga chini endelea na mfinland ila usitelekeze watoto.
ASIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO.AMTOE MIMBA AU AIACHE MIMBA NA AKAE KIMYAAA.
 
Kijana una hofu ya nini? Mambo ya kawaida tu hayo.... Watu wanatembea hadi na mashemeji zao na wanawatia mimba sembuse wewe mchepuko tena mzungu tena kakubali kulea mimba... Enjoy your sin bro maisha ndio hayahaya, hiyo dhambi soft sana isikutoe mchezoni ktk maisha... What if mkeo na yeye kakuzalia mtoto ambaye si wako na hujui..? Maisha ya mahusiano au ndoa hayana guarantee hio issue imetokea basi iache kama ilivyo... Wewe endelea kumpenda mchaga wako na watoto wako... Nyie vijana wa sikuhiz vipi..? Mnaishi maisha ya kutojiamini kama sio mwanaume... HUO NDIO UANAUME enjoy 🏆
 

mkuu mishe vipi huko. Tupeane connection basi
 
Muandikishane kwa mwanasheria kwamba hatadai child support.
 
mkuu kaza roho

ushauri wangu we endelea kulea hiyo mimba ya mzungu na kuhusu kuwa atailea mwenyewe we usiwe tayari kwa kitu kama hicho kwani kuwa karibu na mtoto halafu hausapoti chochote katika ukuaji wake haileti maana nzuri kama baba wa mtoto,,ongea na mpange mikakati ya uleaji wa hiyo mimba na ukuaji wa mtoto kama akizaliwa cha msingi uplay kama baba kwa huyo mtoto

na kuhusu mkeo sioni haja ya kumwambia sahivi kwani ukifanya hivo ni wazi kabisa ndoa yako unaitumbukiza hatiani kwa mikono yako mwenyewe,maana umesema bado unampenda na kumuheshimu mke wako so kufanya hivo pia utapunguza uaminifu kwa mkeo/anaweza akaamua nayeye kulipa kuwa na mahusiano mengine maana we mwenyewe umesema ni mtu wa kusafiri kila wakati,kiufupi ndoa yako inahatari ya kutokea mengi kama ukiamua kuweka mambo yote wazi kwa sahivi,Uache muda uwe muamuzi sahihi katika hili

nenda umkalishe chini mfinland umweleze vile ambavyo unataka iwe katika hili
 
shukrani sana kaka
 
Yaaani alidhamiria kabisa uo usaliti lakn kwakua kaona mimba iyo ndio anajifanya kuumiza kichwa jaman wanaume mlioooa SI mtulie na wake zenu mnazidi kuleta migogoro apa Duniani wanawake sikuiz wanapigana mpk wanauana kw sababu ya kugombea mume mnadhambi sana wanaume baadhi yenu asilimia kubwa tabia chafu haswa walio oa ndio Malaya kabisa [emoji30][emoji30]
 
Nakushauri utumie zilebinu za kutongoza na kuchit kutatua shida hii mkuu
 
asante mkuu hili la ndoa ndio nalopigania zaidi lisiende kubaya.. huku kwenye ndoa kuna hazina zangu nyingi ikivurugika inaweza kunisambaratisha vibaya sana..
Kama ulijua yote ayo kwann Sasa ulimsaliti mkeo??? Acha tamaaa tamaa mbaya sana kijana
 
Mwanaume una ndoa, na watoto 2, alafu unazaa nje ya ndoa, huyo mwanamke wako hawezi kukusamehe, hapo jiandae huna ndoa tena, huyo mwanamke wako wa ndoa atakuja jua tu, hata iweje, na akijua, chances za kubakia katika ndoa ni ndogo sana sanaaa..
 
Mkuu

Hebu acha uoga wewe!

Hakuna mtoto haramu WATOTO ni Baraka!

Unamkumbuka mfalme daudi na mke wa uria matokeo yake nini!!?Ni mfalme suleiman! mfalme tajiri ZAIDI DUNIANI!



Biologist tunaamini polygamy ni natural rights for all males!!!Sheria na cheti cha ndoa ndio zilikuja kuleta hofu hii uliyonayo!!!

"Fumba macho umuambie Mungu asante KWA mimba na mfalme au malkia atakaezaliwa awe chanzo cha furaha maishani!!!

ACHA UOGA MAN!

BINAFSI SIONI HASARA YA KUZAA HATA WATOTO 1000 KAMA WATAKUA NA MAHITAJI TU YA KUKIDHI MAISHA YAO!!!

BE LIKE ME!ACHANA NA UTUMWA WA KIZUNGU WA CHETI NA NDOA COZ NDOA ZA KISASA ZILIWEKWA NA SECRET SOCIETIES KUDHIBITI URIJALI MA UWEZO WA KIUME ILI UWE NA HOFU HIYO ULIO NAYO!


POLYGAMY IS OBSERVED FROM ABRAHAM THE FATHER OF FAITH TO JACOB(JAMES) TO KING SOLOMON AND GOD DIDINT JUDGE THEM WHO TO JUDGE YOU!!?THESE INDUSTRIAL REVOLUTION RULES OF 18 CENTURY!!?

BE SERIOUS BRO O!!!
 
Huyo mfini wa wapi huyo ambaye anabeba Mumbai hovyohovyo, sijawahi ona. Nafanya nao kazi ni miaka 10 sasa. Unaishi Finland sehemu gani?
 
🤣🤣🤣
Si bora hata wew kukuambia atajihudumia mwenyewe. Huku uswahilini ukimpa demu mimba hata kama alikua na kikazi anaacha ili umuhudumie.na ndio Maana wengi wanakataa mimba sababu ya najukumu.
We cha msingi mkeo asijue,kitanda hakizai haramu
 
Wacha uwoga bwana wewe sasa kwani wife akijua wats the worse that could happen? Pasu kwa pasu? Sii unaanza kutafuta na mfinish huyo mzeya usiogope wee mchana wife ukweli kuwa nimezalisha nje huko
Huo ujasiri wanao watoto wa Kike. Wanaume wengi wamepoteza ujasiri. Wanapata fursa nzuri wanajiuliza. Mwanamke angepata Don la Kizungu angemtosa jamaa mapema bila kujiuliza ndoa ndoa.
 
Mkuu mcanada unaishi Finland sehemu gani? Mm kuna kipindi niliishi hapo Tampere miezi kama sita hivi, sikulamba mbususu ya mfinish hata moja. Ilikuwa kila nikirusha ndoano wanakimbia hao nikaona nisije pewa kesi ya kubaka bure. Kwenye hili janga ww piga kimya kwa kuwa ilishatokea, toa support kwa huyo mfini hata kama siyo ile full, mambo mengine yataji sort huko mbele ya safari.
 

Wacha mchaga ajue akunyooshe

Eti Sitamani kuingiiza ndoa yangu matatani 🙄🙄🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…