Mkuu, yametokea mengi ambayo yote siwezi kuyaandika hapa, nimechoka. Jamaa nime mshukuru sana, yeye mwenyewe anajua, mpaka nimempatia namba yangu ya simu, na nimechukua yake pia.Hata hamna neno mmoja ya shukrani kwa yule jamaa. Hata akiwa shoga, bado alikulisha chakula na sehemu ya kulala. Tena ametoa Sh 600, ya nauli kwenda Kariakoo! Umemalizia kusema "Na hapa nimeachana nae", na unamsubiri mtu mwingine. Shukrani mbona imekua adimu namna hii duniya hii????!
Nilikushauri ukifika Dar. ununue chupa ya maji lita moja usiyanywe bali utoboe mfuniko tundu ndogondogo hayo maji ndivyo mtaji wako wa kusafishia vioo vya mbele vya magari kwenye foleni ya magari hapo stesheni kuelekea bandarini utapata ndululu, kuhusu malazi nilikuambia jioni uende Kariakoo sokoni nafasi zipo za kulala kwani hapafungwi, sasa shida iko wapi?Baada ya kupigana hapa na pale humu JF nikiwaomba mnisaidie hata kibarua ili nipate hela ya kula nitakapofika Dar, Maombi yangu yanaonekana ni upuuzi!
Watu wananiita mimi ni Muongo, na wengine wakasema mimi ni Tapeli!
Treni kabla haijafika Dar, nikalia lia sana hapa JF nikiomba nisaidiwe nitakapo fika, lakini watu wanazidi kusisitiza "eti, mimi ni tapeli" Huku simu nayo imekaribia kuisha chaji, na treni ndiyo imeshafika Pugu.
Simu ikaisha chaji!
Na hapo niweshawafuata watu kadhaa PM hapa JF akiwemo manengelo na wengine wengi.
Wengine wananipigia simu, ila hawaongei, ambao walisema watanisaidia nikifika, wananiambia kwamba wako Safarini, kwahiyo hawataweza kunisaidia.
Mpaka hapo, nimebaki na elfu moja na mia nne tu.
Baada ya kukosa mtu wa kunipokea, nikaanza kuzurura hapa mjini. Nimezurura sana, na begi langu mgongoni huku nikitembea bize kama wenyeji wa mji wanavyo tembea. Naendelea hapo chini, maana hapa simu imefika mwisho wa kuandika, Kwahiyo naendelea hapo chini!
Na wewe ushajaa kama maboya wengine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu.mjamaa kaweza kufungua mwaka kwa KIKI matata humu jf
kuna maboya watajaaa na KIKI yake humu
Sent using Jamii Forums mobile app
nilimwqmbia mie siishi dar ila akikosa pakulala aniambie..au unataka aje huku😂😂 ukute mzuri km avatr ya@Ngariba1 si nitakula mtutu mie😂😂😂jokes asideKakufuata hadi pm hujamsaidia
Mkuu hyo avater yako mbona kama ni ya Mtu fulani hivi.... na Siyo Mpanda Treni???Tuacheni mazoea basi, mimi nimejiweka wazi kabisa ili nisaidiwe, ajabu watu mnasema mimi ni tapeli! Acheni hivo, Unaposema mimi ni tapeli, Umekaa na mimi nikakufanyia utapeli?
Au umekuja sehemu nilipo na hujanikuta? Tuacheni mambo ya utani jamani kwa inshu muhimu kama hizi za kusaidiana. Leo inanitokea mimi, kesho itakupata wewe, hata kama haitakupata wewe, itampata mwanao au hata mjukuu wako. Kuna mtu amenipigia simu anasema nimsubiri, muda wa mchana anakuja kunichukua hapa nilipo. Asanteni, nawasilisha! Kama mpaka hapo hujanielewa, basi endelea na unavyo amini kuhusu mimi.
pole kaka ...sema km una kaukomedi fulan hv maana mm nacheka tu hapa... siku ukikosa ya kula nipm😊..ukikosa pakulala nipiyemu.....
Usiskize maneno ya watu kijana.. Mungu ni mwema utaoka kimaisha na kuleta ushuhuda hapaTuacheni mazoea basi, mimi nimejiweka wazi kabisa ili nisaidiwe, ajabu watu mnasema mimi ni tapeli! Acheni hivo, Unaposema mimi ni tapeli, Umekaa na mimi nikakufanyia utapeli?
Au umekuja sehemu nilipo na hujanikuta? Tuacheni mambo ya utani jamani kwa inshu muhimu kama hizi za kusaidiana. Leo inanitokea mimi, kesho itakupata wewe, hata kama haitakupata wewe, itampata mwanao au hata mjukuu wako. Kuna mtu amenipigia simu anasema nimsubiri, muda wa mchana anakuja kunichukua hapa nilipo. Asanteni, nawasilisha! Kama mpaka hapo hujanielewa, basi endelea na unavyo amini kuhusu mimi.
Nauli unayo ulipo? Kama unayo uliza mtu nataka kwenda tabata barakuda ukifika hapo kituoni ni pm namba yako /
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangoni ni wakarimu mnoo..hongera mkuu[/QUO
😂😂😂😂😂😂😂 muone...
Bado tu nasema wewe hiyo signature yako ina Maana kubwa kuliko msaada unaojinasibu kuuomba ila endelea kucheza na akili za watu nyie ndiyo mnaosabbisha wale wenye shida kweli kweli wasisaidiwe...Mkuu, yametokea mengi ambayo yote siwezi kuyaandika hapa, nimechoka. Jamaa nime mshukuru sana, yeye mwenyewe anajua, mpaka nimempatia namba yangu ya simu, na nimechukua yake pia.
Kwahiyo swala la shukrani kutoliandika hapa, ni mambo kuwa mengi, ila huku jamaa mwenyewe anajua kuwa nime mshukuru sana.
Nadhani umenielewa kaka! Asante..
Wangoni ni wakarimu mnoo..hongera mkuu
Vipi ulikula kiboga ???Mkuu, yametokea mengi ambayo yote siwezi kuyaandika hapa, nimechoka. Jamaa nime mshukuru sana, yeye mwenyewe anajua, mpaka nimempatia namba yangu ya simu, na nimechukua yake pia.
Kwahiyo swala la shukrani kutoliandika hapa, ni mambo kuwa mengi, ila huku jamaa mwenyewe anajua kuwa nime mshukuru sana.
Nadhani umenielewa kaka! Asante..
Ila baada ya kumshukuru una m suspect kuwa ni shoga, naye akileta mrejesho hapa jinsi alivyokusaidia humu JF utasemaje. Alikwambia kwani anataka umfire, au matendo yake ukahisi huyu ni shoga?Mkuu, yametokea mengi ambayo yote siwezi kuyaandika hapa, nimechoka. Jamaa nime mshukuru sana, yeye mwenyewe anajua, mpaka nimempatia namba yangu ya simu, na nimechukua yake pia.
Kwahiyo swala la shukrani kutoliandika hapa, ni mambo kuwa mengi, ila huku jamaa mwenyewe anajua kuwa nime mshukuru sana.
Nadhani umenielewa kaka! Asante..
Wenye shida kama nani? Umekutana na mimi ukagundua sina shida? Mbona unakuwa mtu usiyejali lakini? Aaargh! Ok, Sawa, ngoja nipambane na hali yangu, maana mtu unamuelewesha, ila yeye hata haelewi. Hujaonana na mimi ila unakazia tu eti mimi muongo, ok mkuu nashukuru.Bado tu nasema wewe hiyo signature yako ina Maana kubwa kuliko msaada unaojinasibu kuuomba ila endelea kucheza na akili za watu nyie ndiyo mnaosabbisha wale wenye shida kweli kweli wasisaidiwe...
Mkuu povu la nini ama ndio wewe ulikuwa laini Laini unamrembulia mwanaume wa mkoaniIla baada ya kumshukuru una m suspect kuwa ni shoga, naye akileta mrejesho hapa jinsi alivyokusaidia humu JF utasemaje. Alikwambia kwani anataka umfire, au matendo yake ukahisi huyu ni shoga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio povu we kilaza! Ndo maana hata moyo wa kusidia mtu umetoka siku hizi, kila mtu afe kivyake.Mkuu povu la nini ama ndio wewe ulikuwa laini Laini unamrembulia mwanaume wa mkoani
Sent using Jamii Forums mobile app