Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Mkuu, yametokea mengi ambayo yote siwezi kuyaandika hapa, nimechoka. Jamaa nime mshukuru sana, yeye mwenyewe anajua, mpaka nimempatia namba yangu ya simu, na nimechukua yake pia.
Kwahiyo swala la shukrani kutoliandika hapa, ni mambo kuwa mengi, ila huku jamaa mwenyewe anajua kuwa nime mshukuru sana.
Nadhani umenielewa kaka! Asante..
Sasa mkuu bas ungeweka wazi kama umemgegeda kaka wa watu ili kulipa fadhila. Unaficha nn sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ni darasa la saba,
Lkn anajua kum-mensheni mtu,
Anajua kuandika vizuri,
Anajua quote,
Anajua kuacha nafasi baina ya neno nano...

Huyu atakuwa anafanya UTAFITI.
NI MTU NA ELIMU YAKE KABISA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnaidharau sana elimu ya darasa la saba? Mtu unaweza kuwa darasa la saba lakin ukawa na uelewa mzuri tu wa baadhi ya mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,
Kwani unafikri sura zikoje?

Dogo wa la saba kaijuaje JF?
Anawezaje kumensheni mtu?
Anawezane andika kwa mpangilio hivi?
Anawezaje jibu hoja kwa ustadi hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mi namfuatilia kwenye huu uzi nijue hatma yake hasa kwa sababu ukiangalia mwanzo wa huu uzi jamaa kawa creative sana kwa kuiandika topic yake na ndani katia story amabayo imewavutia wengi kuusoma. Uandishi wake wa mkato mkato na kusema "ninaendelea hapo chini" utarudi tu kusoma kujuwa kilichoendelea hasa ukizingatia katika story yake kamuingiza "shoga" mpaka hapo nahisi utakuwa umenipata chief.

Ujibuji wake ni wa hekima na ni vigumu kwa mtu wa darasa la saba kuandika hivi. Kuna mengi nayafikiria kuhusu huyu dogo nahisi kuna kitu anatuficha amabacho anakihitaji ni zaidi ya msaada wa kazi kama thread inavyojieleza.

Tuendelee kuangalia hii movie inaishaje., naendelea hapo chini

Huyu kama sio assignment kapewa na TISS, basi itakuwa anafanya research ya chuoni huko.

Huyu yupo hapa kwa kazi maalumu, na ndio maana katuandaa kisaikolojia katika mada zake.

Chief tukitumia kigezo cha picha iliyotumwa na 13 Mega Pixel anaweza kuwa katika TISS mbona dogo anaonekana hata ukoko wa shingo hujamtoka huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekutana na jamaa kijitonyama shule, ninathibitisha jamaa ana uhitaji aisee, na wala siyo tapeli wala furahisha genge, sina kazi ya kumpa ila nimemsaidia kumpeleka kituoni makumbusho na kumpandisha gari la segerea ili ashuke hapo baracuda, aliye na nia ya kumsaidia amsaidie, nimeambatanisha pixha yake amenipa ruhusa ya kufanya hivyo ili mumuaminiView attachment 985989

Sent using Jamii Forums mobile app
for the first ..i can comment then

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom