Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 625
- 506
Sasa mkuu bas ungeweka wazi kama umemgegeda kaka wa watu ili kulipa fadhila. Unaficha nn sasa?Mkuu, yametokea mengi ambayo yote siwezi kuyaandika hapa, nimechoka. Jamaa nime mshukuru sana, yeye mwenyewe anajua, mpaka nimempatia namba yangu ya simu, na nimechukua yake pia.
Kwahiyo swala la shukrani kutoliandika hapa, ni mambo kuwa mengi, ila huku jamaa mwenyewe anajua kuwa nime mshukuru sana.
Nadhani umenielewa kaka! Asante..
Sent using Jamii Forums mobile app