Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Sikia mzee
Kwa bei ya kawaida figo moja ni million 70,uza moja kisha chukua million 40 ka bet, kwa odds za point 2 muwekee Man united (under Ole gunner) win,muwekee Barcelona win.

Baada ya hapo chukua mil 80 zako kwa muhindi,nunua figo kwa mil70 ,utabaki na faida ya mil10+ mil30 (ile ilo baki)=mil mil40.

Mil40 chukua rudi kigoma kalime mawese
Nawasilisha!!
Wee jamaa futa comment yako hii. Sio vizuri kuleta ujuaji kwenye matatizo ya wenzio. Ipo siku yako kaka dunia duara hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom