Nakujuza, Kuanzia 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa Wasukuma

Ndo angalia takwimu halafu linganisha na jamii nyingine...........hao sio kula tu ugali wa mtama hata kwenye tiba bado wanatumia sana mimea kwa tiba mbalimbali,,,,,na wamesambaa kila kona nchini,,,,utakutana na msukuma dar hatumii huo ugali wa mtama ila upande wa tiba hawatumii sana haya madawa ya kemikali za viwandani na ndo kinachowasaidia......kwa ujumla jamii nyingi za kanda ya ziwa huo ushamba wao ndo unawasaidia kudominate
Kwa hizi hoja inaonekana upo kwenye 85% ya wasukuma ambao ni more physical than mental. Hivi wasukuma na nature yao wata make vp sense kwenye ulimwengu wa AI tunaousogelea?
 
Hehe kwahio hawa wamjini wanaopelekeshwa na ma lgbt ndo wanauweza ulimwengu wa AI?
 
Siwezi kushangaa... wasukuma wanazaa aisee.

Kuna kijana nilimkuta Tinde, at 30years alikuwa na watoto 12, 6 wa mke wake, 6 wa nje ya ndoa!

Hata ukiangalia Takwimu za uchaguzi utashangaa idadi ya wapiga kura majimbo ya usukumani huko!
 
Kwahiyo usukumani hawajui dunia inaendaje ila uchagani wanajua!
Aliyeanzisha uzi anaongelea wasukuma, wewe ukachomekea habari za wachaga. Lengo lako ni kuanzisha ligi ya wachaga na wasukuma au?
 
Hehe kwahio hawa wamjini wanaopelekeshwa na ma lgbt ndo wanauweza ulimwengu wa AI?
Mambo ya lgbt yanaingiaje kwenye mada? mada inahusu ongezeko la idadi ya wasukuma, kitu unachoona ni chanya. Ndipo nikauliza ongezeko la idadi ya watu(wasukuma specifically) litakabiliana vp na ulimwengu wa IA?
 
Hata hilo tatizo la makabila mengine watu wao kuongezeka hasa ukanda wa pwani na kaskazini shida mojawapo pia ni lgbt........wale wanaoonekana ni wakisasa zaidi janga la kutokuzaliana ndo linawatafuna sana kuliko washamba.......unaongelea AI watu wamesurvive kipindi huku hamna hata .mashine hata 1 ila wakaja wageni tayari walishaingia industrial revolution na maisha yakaenda sembuse AI
 
Kumwelewesha chizi ni kujipa kazi by Darassa. Kila la kheri.
 
Nilifika Ruangwa ndani ndani huko, wasukuma ni wengi sana aise.
WAnafanya kilimo na Ufugaji
 
Habari
Huu ni utafiti binafsi nilioufanya na ambao sio rasmi.

Maeneo ya utafit NI pamoja na mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga, Tabora, Katavi. Rukwa, Morogoro, DSM, Pwani na Mbeya.

Utafit huu umebaini kwamba kufikia ,mwaka 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa NI wa kabila la kisukuma.

Nilijikita katika mambo kadhaa ikiwa pamoja na
1.ongezeko la idadi ya watu mikoa ya Kanda ya ziwa. Kupitia vyanzo kadhaa ikiwemo taarifa mbalimbali na takwimu za kiserikali nilibaini kuna ongezeko kubwa la watu katika mikoa ya Kanda ya ziwa hususani mikoa ya jamii ya kisukuma . Ongezeko hili ni kubwa maradufu ukilinganisha a ongezeko la Kanda zingine.

2. Birth rate ya familia za kisukuma. Hapa nilibaini kwamba kwa familia ya kisukuma kuzaa watoto wengi bado ni Jambo linaloleta sifa kwenye familia ambapo familia yenye watoto wachache huwa ni kuanzia 7 na kuendelea ilihali makabila mengine familia zimeathiriwa Sana na usasa Kwa kujikita kwenye uzazi wa mpango na kuishia watoto wachache sana.

4. Hali ya kiafya kiujumla na lishe. Jamii za Kisukuma bado zinathamin Sana tiba mbadala na vyakula vya asili . Hali hii inafanya kiafya familia nyingi za Kisukuma kuwa vizuri.

5. Usambaaji wa jamii za Kisukuma mikoa mbali mbali nchini. Zamani wasukuma hawakusambaa Sana tofauti na sasa ambapo mikoa Mingi Kwa sasa wamejaa wao .

Nini faida au hasara ya utafiti huu?

Faida ya utafiti huu NI kuonyesha muelekeo kijamii Kwa taifa la Tanzania na kutahadharisha mamlaka kuona namna ya kubalance ongezeko la watu ili kuendelea kulinda mshikamano wa kitaifa.

Hasara ya utafiti huu ni pamoja na kwamba inaweza kuleta tafsir hasi Kwa baadhi ya wadau.
Kwa hiyo makabila mengine hazaani au watakuwa wamekufa mkuu??
 
Kwahiyo kanda ya ziwa kila mtu ni msukuma? Hakuna wanyamwezi ? Hakuna wajita ?
 
Kuna watu wanapenda ubishi bila kuelewa.
Mtoa mada kaelezea vizuri kile alichokiona na kukifanyia utafiti na bado watu wanabisha bila tafiti yoyote lakini ukweli ni kwamba katika hii nchi yetu hakuna kabila lenye idadi kubwa ya watu kama wasukuma(ukibisha wewe bisha tu) ukiachana na kusambaa mikoa mingine mingi hili kabila linacover mikoa mingi kuliko kabila lolote(Mwanza,Tabora,shinyanga nk.) tukitoka nje ya mikoa yao ndo shida wapo wengi sana.
 
Inakadiliwa tupo Watu million 65+, kufikia mwaka 2030 inakadiliwa tutafika millioni 70+. Je unaposema wasukuma watafikia nusu ya wa Tz wote mnamo mwaka 2030 unamaanisha watakua wasukuma millioni 35 ?.
 
Habari
Huu ni utafiti binafsi nilioufanya na ambao sio rasmi.

Maeneo ya utafit NI pamoja na mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga, Tabora, Katavi. Rukwa, Morogoro, DSM, Pwani na Mbeya.

Utafit huu umebaini kwamba kufikia ,mwaka 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa NI wa kabila la kisukuma.

Nilijikita katika mambo kadhaa ikiwa pamoja na
1.ongezeko la idadi ya watu mikoa ya Kanda ya ziwa. Kupitia vyanzo kadhaa ikiwemo taarifa mbalimbali na takwimu za kiserikali nilibaini kuna ongezeko kubwa la watu katika mikoa ya Kanda ya ziwa hususani mikoa ya jamii ya kisukuma . Ongezeko hili ni kubwa maradufu ukilinganisha a ongezeko la Kanda zingine.

2. Birth rate ya familia za kisukuma. Hapa nilibaini kwamba kwa familia ya kisukuma kuzaa watoto wengi bado ni Jambo linaloleta sifa kwenye familia ambapo familia yenye watoto wachache huwa ni kuanzia 7 na kuendelea ilihali makabila mengine familia zimeathiriwa Sana na usasa Kwa kujikita kwenye uzazi wa mpango na kuishia watoto wachache sana.

4. Hali ya kiafya kiujumla na lishe. Jamii za Kisukuma bado zinathamin Sana tiba mbadala na vyakula vya asili . Hali hii inafanya kiafya familia nyingi za Kisukuma kuwa vizuri.

5. Usambaaji wa jamii za Kisukuma mikoa mbali mbali nchini. Zamani wasukuma hawakusambaa Sana tofauti na sasa ambapo mikoa Mingi Kwa sasa wamejaa wao .

Nini faida au hasara ya utafiti huu?

Faida ya utafiti huu NI kuonyesha muelekeo kijamii Kwa taifa la Tanzania na kutahadharisha mamlaka kuona namna ya kubalance ongezeko la watu ili kuendelea kulinda mshikamano wa kitaifa.

Hasara ya utafiti huu ni pamoja na kwamba inaweza kuleta tafsir hasi Kwa baadhi ya wadau.
Ulimhola nkoyi?
 
Yeah! Hili dhehebu ukiliona mahala ujue waumini wengi ni wasukuma!
African Inland Church of Tanzania ( AICT)
Wamissionari kutoka Ulaya na Marekani walioeneza ukristo hapa nchini; walikuja kutoka mashirika mbalimbali ya huko kwao, na waligawana maeneo ya uinjilishaji; ambapo African Inland Mission (ambao ndio chimbuko la dhehebu la AIC), kutoka Amerika; walianzia uinjilishaji Kanda ya Ziwa hususan Mwanza (maeneo ya Nassa, Kijima, Sumve, Geita, n.k)
Baadae kanisa lilienea taratibu maeneo ya jirani na Mwanza na milia jirani kama Shinyanga; (maeneo ya Kolandoto, Ilula - Kishapu, Nyamalogo - Nindo n.k)
Makao makuu ya AICT ni Makongoro jijini Mwanza.
Askofu wa kwanza wa AICT alikuwa Jeremiah Kisula Mahalu; ambaye kwa wakati huo alikuwa ni Askofu pekee Tanzania nzima, alifuatiwa na Askofu Nyagwaswa, ambaye baadae alileta mabadiliko ya muundo wa kanisa kwa kuanzisha maeneo mbalimbali ya kiutawala; ambapo zilianzishwa Dayosisi mbalimbali zikipngozwa na Maaskofu wa kuchaguliwa.
Sasa AICT imepanuka; iko nchi nzima mpaka Mtwara, Sumbawanga, Kigoma; Dar n.k.
 
Back
Top Bottom