Nakukumbusha Waziri Makamba, kama tuliweza kuileta crane yenye tani 70 tushindwaje tani 26?

Mimi wamenishangaza sana,hapo hongeza Bollore logistics na Perfect Machinery
 
Huyu kiumbe anataka fedha kwa pupa ,ila ataa gamia tu,ni suala la muda
 
Amejibu swali kiboya sana. Nilikuwa namuona ana maana kumbe hamna kitu. Kwanza iweje ujibu kwa kutumia maneno "inasemekana"?? Taarifa za kujaza maji mwezi Novemba si suala la inasemekana, bali ni taarifa iliyotolewa na serikali yenyewe kupitia mtangulizi wake. Ni jambo la ajabu nchi nzima kukosa crane ya tani 26, unless Ange specify labda aina hiyo ya crane ni unique. Yaani sio uwezo wake katika uzito bali aina yake. Kea kifupi. Huyu kijana kumbe mweupe sana.
 
CCM kumejaa wafoji vyeti na watu wenye elimu za kuungaunga.
 
Aisee kama ilitumbukia baarini wazamiaji watakuwa washabeba vifaa! Yaaan
 
Inaonekana naww unamega mkate na Kambare
Ina maana Adio yako mkubwa ni makamba pekee mbona mambo ya ajabu
Ukiamka Makamba
Ukilala Makamba
Ukigeuka Makamba
Mbona hawasemi mbolea ni Elfu 95 saiv au hawaoni kila kitu Makamba
 
Kinachonisikitisha ni kuwa Tanzania ina historia ya kushtaki mawaziri wastaafu na wakashitakika, hatimaye wakafungika. Historia ina kawaida ya kujirudia. Nampenda Januari nisingependa hayo yampate.
 
Huyo mtangazaji hajui hata Kiswahili, Kenya wanaongea kiswahili kizuri kutuzidi kwa sasa.
Halafu na wewe, watu wanaongelea crane wewe unaongelea kiswahili. Tukisema una issue upstairs unalalamika tunakuonea.
 
Mara 100 tupigwe kuliko utawala wa awamu iliyoisha.
Lah, hii ni ngumu.

Hivi hatuwezi kuishi bila ya hizi pande mbili zote mbovu? Hii nchi itakuwa na laana ya namna gani!

Wewe unakubali "mara 100 upigwe", na huyo mwingine naye anajiapiza "dikteta" ndiye chaguo lake!
 
Sasa umeshasema ilitumbukia baharini TPA walisema wana uwezo wa kuitoa lakini inavyoonekana haijatolewa mpaka sasa ndio maana wameamua kuagiza.
na wewe kwa akili zako unaona kweli kabisa haiwezi kuwa distmantled? na kuwekewa maboya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…