Nakukumbusha Waziri Makamba, kama tuliweza kuileta crane yenye tani 70 tushindwaje tani 26?

Samia hawezi kufanya lolote mkuu samia kawekwa pale
 
Lah, hii ni ngumu.

Hivi hatuwezi kuishi bila ya hizi pande mbili zote mbovu? Hii nchi itakuwa na laana ya namna gani!

Wewe unakubali "mara 100 upigwe", na huyo mwingine naye anajiapiza "dikteta" ndiye chaguo lake!

Kutekwa ,kuuliwa,kupigwa risasi,umasikini uliokithiri,wafayabiashara kufilisiwa Vs Kuleta Makampuni ipi bora?
 
Mmoja atuonyeshe picha za hivyo vyuma vinavyotakiwa kubebwa ili tutoe comment concret hapa kuliko kuendelea kupiga taarabu.
Lakini kama sikosei amesema hizo crane zinakuja ila hazitafika kwa muda huo tajwa.
 
Kaka kimahesabu tu.hyo milango Ina tani 26.
hao waturuki Wanaojenga reli Wana winch ya kubeba tani 40 na kitu.
Hii pia unataka uone picha?
hilo bwawa la nyerere.samia akifanya masikhara linakufa bila kuwaka umeme.
 
Mkuu hii jf Bwana ,apa umepiga kitu kizito KWA J ,Makamba waziri,
 
Labda kanukuliwa vibaya!
 
Huyu alitakiwa mpaka saiv awe kashatumbuliwa,lakin kwakua wameamua kurudisha siasa tena ichukue asilimia 90 kwenye mambo ya msingi basi.Kidogo mwendazake alipunguza.
 
Huyu alitakiwa mpaka saiv awe kashatumbuliwa,lakin kwakua wameamua kurudisha siasa tena ichukue asilimia 90 kwenye mambo ya msingi basi.Kidogo mwendazake alipunguza.
Sasa Samia anajua nn? Ingekuwa Magufuli sawa hizo Tan anazijua vizuri kuwa ni ndogo ila Samia ye akiambiwa hamna anakubali tu.
 
Ina maana Adio yako mkubwa ni makamba pekee mbona mambo ya ajabu
Ukiamka Makamba
Ukilala Makamba
Ukigeuka Makamba
Mbona hawasemi mbolea ni Elfu 95 saiv au hawaoni kila kitu Makamba
Kwa hiyo akilikoroga aangakiwe tu?
 
Kaka kimahesabu tu.hyo milango Ina tani 26.
hao waturuki Wanaojenga reli Wana winch ya kubeba tani 40 na kitu.
Hii pia unataka uone picha?
hilo bwawa la nyerere.samia akifanya masikhara linakufa bila kuwaka umeme.
Hapa kuna mchezo unatengenezwa watu wapige hela.Si bure
 
Kwa mujibu wa wadau waliopo kwenye mradi wa JNHP huko Rufiji wamedai tena kwa ushahidi wa wazi kuwa crane za kunyanyua uzito wa kuzidi hata hizo tani 26 zipo eneo la mradi na zinafanya kazi mbalimbali.

Ajabu na katika hali ya kustaajabisha Waziri wa Nishati bwana mdogo Makamba kwa kinywa chake alitamka bungeni siku za hivi karibuni eti mitambo ya aina hiyo haipo nchini jambo ambalo si la kweli!

Bunge limekubali kudanganywa?

Kwa nini baadhi ya wabunge waliopo katika kada ya uhandisi hawajamsaidia Spika kumtonya kwamba Makamba analidanganya Bunge?!

Je, Makamba aendelee kuchekewa kwa udhaifu aliouonyesha?
 
Hii nchi ni ngumu sana.kuna kalaana Fulani nadhani.kilicho chema tunakikataa kilicho cha ovyo tunakisifia.kwa ujumla inaumiza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…