Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
-
- #81
Wamachinga wakati wanauza wholesale?Wachina nchi yao ni tajiri lakini wao wanakuja kufanya umachinga Tanzania
Wachina nchi yao ni tajiri lakini wao wanakuja kufanya umachinga Tanzania
Ndio hapo sasazinadumu?
Sio wamachinga. Mmachinga ametafsiriwa kama mfanya biashara mdogo. Mchina anaweka 100+m paleMkuu kama wameona kuna soko kubwa huku kwa nini wasije?
Mhmm.! Shem hapa umeupiga mwingi π€£π€£π€£Kuna jamaa posta anauza 180 nilichoka! Kariakoo nilinunua kwa elfu 30 tu
Hiko kinajulikana bana km cha mchongo πππMtu ukimwambia cheap anaona feki. Hapo anacheza na maneno ya kibiashara tu.. "quality!" "We care your money π°"!. "Service 24 hours" wakat tunajua kabisa huwez kuagiza kitu kama hiki saa 8 usiku, so ukilala na sisi supplier tunalala.
Nzuri bos.. na zina ubora tu! Achilia mbali hayo makanyaboya yalipoteaga. Niliwh kununua kiatu elfu 4 mbagala cha duka siku haikuisha na kiatu kikafa π€£Zilikuwa elfu 9 sasa hivi zimepanda shem?
Siriaz bos.. mm sikuamin mpaka nilipopelekwa na hizi mambo utajua kwa watu wanaofanya biashara ya watu wa tenda. Tenda zina hela sana... kuna bos wangu alipata tenda kwa kampun ya ulinz. Hizi amanita elf 20 nimtaftie kariakoo. Palichimbika mpaka kuipata hoi.. nikapewa elf 50 kama asante! I can't fake or lieMhmm.! Shem hapa umeupiga mwingi π€£π€£π€£
Lamomy Anasema haamin ubora wa kiatu hiki cha mauaMi pale naandikaga sana orderView attachment 3068002
πππ sawaNzuri bos.. na zina ubora tu! Achilia mbali hayo makanyaboya yalipoteaga. Niliwh kununua kiatu elfu 4 mbagala cha duka siku haikuisha na kiatu kikafa π€£
Sema mwangu maua mikoani kiatu chake kinatembea kinoma huyo lamomy labda umpeleke kwa G Ten pale kiatu 75000 PC 12Lamomy Anasema haamin ubora wa kiatu hiki cha maua
Basi huko ndio kwa kutafuta goli tupige pesa, kiatu cha 10,000 unauza 120,000.. profit 110,000Siriaz bos.. mm sikuamin mpaka nilipopelekwa na hizi mambo utajua kwa watu wanaofanya biashara ya watu wa tenda. Tenda zina hela sana... kuna bos wangu alipata tenda kwa kampun ya ulinz. Hizi amanita elf 20 nimtaftie kariakoo. Palichimbika mpaka kuipata hoi.. nikapewa elf 50 kama asante! I can't fake or lie
Sasa umecheka yanini jirani πBasi huko ndio kwa kutafuta goli tupige pesa, kiatu cha 10,000 unauza 120,000.. profit 110,000
Hapo utajiri nje nje π€£π€£π€£
Huku ndo anachukuaga 4G nn?Sema mwangu maua mikoani kiatu chake kinatembea kinoma huyo lamomy labda umpeleke kwa G Ten pale kiatu 75000 PC 12
Sinza tu hapo sio mbali bosBasi huko ndio kwa kutafuta goli tupige pesa, kiatu cha 10,000 unauza 120,000.. profit 110,000
Hapo utajiri nje nje π€£π€£π€£