Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Kuna jamaa posta anauza 180 nilichoka! Kariakoo nilinunua kwa elfu 30 tu
sometimes ni ishu ya ubora. kkoo chenga sana vitu vingi. nakumbuka nilinunua aina moja ya simu kwa utofauti wa bei kwa tofauti ya wiki. niliyonunua kkoo ilikufa baada ya mwaka, niliyonunua posta nilidumu nayo miaka 5 kabla ya kuamua kuiuza ikiwa na uimara wake. hata features zinavyo operate kwa mtu makini ilikua unagundua tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…