Nakusudia kuandika kitabu kuelezea UDIKTETA wa Magufuli

Hebu mwacheni mzee wa watu apumzike dah

Ova
Hakuna cha kupumzika hapa , huyo IDD Amin , Hitler , Stalin , Polpot na wengine wanaimbwa mpaka leo Kwa uovu na unyama waliofanya what's so special?
 
Mtatumika kamampira wakuvaa alafu mtatupwa.
Uzuri nikwamba huu upuuziwenu mnaupigia promo humuhumu jf, huko kwa wananchi wenyewe wanajua reality ni nini.
Sema wewe ndio unajua reality ya huyo mpuuzi wenu ni nini , Huna mandate ya kuwasemea wananchi kiazi wewe , huyo kenge wenu aliyeua , kuteka , kutesa , kufilisi , kudhalilisha wananchi , kufukarisha nchi Kwa kuua biashara na uwekezaji , kuendejeza chuki za kikabila na nepotism , kuharibu misingi ya kidemorasia , kuvuruga uchaguzi , matumizi mabovu ya pesa zaima kunufaisha genge lake na kununua wapinzani , kunyima ajira vijana .
Wewe ni nanga kama huyo mungu wenu aka mzoga
 
Hata lile jini lao lilifojiwa PhD na Dr Akwilapo ndiyo maana Akwilapo akahongwa ukatibu mkuu wa wizara.

Ben Sa8 aliandika Sana kuhusu jili ndiyo maana jini likamuua.

Huko Jehanamu Magufuli afe tena
Wewe tunakujua ni kwasababu Magu alikubutua akatanua hiyo kitu yako ndio maana una strese huwezi kuolewa
 
Ungeanza kuandika kuhusu maisha yako Kwanza,, umefanyia nini hata familia yako yakuwekea kumbukumbu ukipotea katika hii dunia??

Ukute huna hata msaada wowote kwa jamii yako unataka uandike kitabu kuhusu magufuli,
Anza chako tuanze kukusoma wewe Kwanza.
 
Naanza na huyu mwanaharamu jiwe
 
Niliwashauri CdM Leo huko Twitter nawe umesikia sauti yangu.

Bora kiandikwe kitabu kuliko kusema kila siku matendo yake.

Wazungu wangeandaa hadi movie
Kama wataalamu wanavyoendelea kuandal eventual docs ya Ukraine na urusi
Umeongea vyema sana.! Na mifano hai ipo ya vitabu kuandikwa kuelezea udikteta wa viongozi (angalia attachment niliyoweka kwa hii comment)
 
Andika na sisi tutakupa taarifa binafsi za madhira tuliyopitia.
 
Hiyo post ni ya 2016 kipindi magufuri ameanza kuonyesha makucha yake
 
Ninaweka oda ya nakala 500 bila kujali utakiuza bei gani , hizi nakala nitazigawa kwa wananchi wa Jimbo letu la Kyela
 
Mleta mada anataka tukoment tu kwenye uzi wake wa kijinga hana lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…