Nakusudia kuandika kitabu kuelezea UDIKTETA wa Magufuli

Usisahau kuandika kuhusu miradi ya kimkakati kama Bwawa la Nyerere na SGR.

..by the time jpm anaaga dunia miradi ya sgr na stieglers ilikuwa imekamilika kwa kiasi gani?

..jpm alikuwa na makelele na propaganda nyingi, kwa mtu ambaye hayuko hapa nchini angeweza kufikiria miradi hiyo imekamilika.
 
Mkuu usisahau kuandika kuwa magufuli hakupenda kufanya kazi na watu wenye akili timamu ila maxombie na maroboti kama Kabudi

Pia usisahau kuandika kuwa magufoool hakupenda kabisa habari za kifo chake ziwekwe hadharani kabla ya 2025
😅😅😅sasa akiandika kula kitu kitabu hakitatosha
 
Duuh na yeye watoto wake walimshinda?😅
 
Exactly, mkuu utafanya la maana Sana kuandika hiko kitabu, hili vizazi vijavyo vije kujua kuwa tushawai kuongozwa na jitu moja liuaji na lililokuwa linafurahi Watz wenzie kufia jela, na kutopora fedha zetu kwenye maduka ya kubadili fedha
 
Halafu picha ya kwenye kitabu uweke hile ya Mara ya mwisho aliyopiga akizindua stendi kuu, Mungu alimuondolea Nuru kwenye hile picha,akampiga na muhuri kuwa Ni mtu wa motoni, kwasisi wasomi wa dini tuliliona hilo,

Hiko kitabu mi ntakiagiza kije nilipo hata kwa ndege
 
Mkuu usisahau kuandika kuwa magufuli hakupenda kufanya kazi na watu wenye akili timamu ila maxombie na maroboti kama Kabudi

Pia usisahau kuandika kuwa magufoool hakupenda kabisa habari za kifo chake ziwekwe hadharani kabla ya 2025
Simba achezewi sharubu. Alichezea korona. Ikatembelea ikulu yake. Ikawa inachukua mmoja mmoja anaangalia tu, mwisho ikabeba na yeye
 
Mleta mada hajielewi huwezi kuandika kitabu cha mtu mkubwa wakati wewe.ni.ktu.mdogo pimbi tu wa mtaani hakiwezi pata soko kitaishia tu

Kuandika kuhusu maisha ya Raisi anayakiwa aandike mtu wa rank ya juu sana aliyofanya kazi karibu naye kwa muda mrefu

Vinginevyo hakiwi na credibility sababu kitajaa umbeya tu usio na ushahidi
 
Tulia Mkuu Ngoja aandike labla atawafuata watu wake wa karibu kuwashilikisha
 
Kwa hiyo Biography ya rais inatakiwa kuandikwa na mfalme, au?
Credibility ya kitabu inatokana na weledi & integrity ya mwandishi, siyo cheo..

Siyo kila mwenye ' rank ya juu' ana taaluma ya uandishi!
 
Tulia Mkuu Ngoja aandike labla atawafuata watu wake wa karibu kuwashilikisha
Vitabu kama hivyo huandikwa na watu kama mkuu wa majeshi au usalama wa taifa wa ngazi za juu au mkuu wa polisi wa kipindi husika cha Raisi mhusika sio kaukuta wa barabarani anayeokoteza vitaarifa majalalani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…