Nakusudia kuishtaki Serikali (TCRA) kuzima Simcard za wateja wa mitandao

asante sana kwa pole yako, binafsi mimi mwenyewe naanza kujilaumu mwenyewe kwa kuwa Mtanzania, nimekuelewa 100%
 
Kama raia wa kigeni anaweza kuruhusiwa kupiga kura basi hii nchi itakuwa ya kiboya sana !
 
,
Umesahau na passport, yaani mpaka hivi vidole vyangu vimeanza kufutika hizo alama kila siku wanaviramba, hata ukisafiri pia wanaramba vidole, I’m tired
...🙄🙄🙄 hii kali aisee..
 
Uwezo wa watanzania wengi kufikiri na kuhoji unazidiwa hata na roboti sophia
 
Nilishashauli tuwe na utambulisho wa dunia hizi nchi zetu nyengine ni ukanjanja tu,Bora kuwa na kitambulisho Cha dunia ikafahamika moja,Sasa hivi kitambulisho Cha taifa moja moja tabu,walete Cha dunia ili ifahamike Mimi ni mkazi wa dunia hii sijatoka jupita kenge.
 
Wapelekee wale mabwana unaowakimbilia labda watakujibu.... Itume na hii
Watu wajinga nyie mnaongozwa na wajinga wenzenu, mnakaa kuwananga wazungu eti "Mabeberu "wakati maisha yenu 98% mnawategemea wazungu hao hao.
Taifa zima mnavaa madaso ya wazungu (Mitumba).
Ndege, madawa, silaha na misaada kibao vyote mnatoa kwa wazungu na bado Bajeti ya nchi haijitoshelezi hadi wazungu waongezee.
Elimu mnaitoa kwa wazungu, halafu bado mnawananga kwa kuwaita "mabeberu "nyie ni Binadamu wa kawaida kweli?
Mna tofauti gani na mbwa anayepewa Chakula kisha akamng'ata tena Bwana yake anayemshibisha.
Niseme tu kwamba nyie ni mapunguani na wapumbavu wa wapumbavu Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 20 Simu zitazimwa kama ilivyopangwa,watu watalia sana kwa kuzimiwa simu,kisha Magufuli atainuka na kutangaza kufuta uamuzi wa kufungia simu za watu,mkurugezi wa NIDA na someone from TCcra watatumbiliwa kuonesha kwamba ndo waliofanya uzembe huo na kiongozi wa malaika hakuwa akijua.Yaani strategies za Magufuli katika kupata political mileage, hata mwanangu wa std two would have done much better
 
Noma.

Hv hii mmeilewaje, line zinafungiw Kuanzia Kesho tar 20, ilihali bado RAIA kibao hawana vitambulisho vya kusajilia line Zao.

Imekaa kichina sana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama raia wa kigeni anaweza kuruhusiwa kupiga kura basi hii nchi itakuwa ya kiboya sana !
Ndio utaratibu wa kudhibiti hayo yote unaanzia kwenye vitambulisho vya NIDA.
Lazima kuwe na hatua au sehemu ya kuanzia.
 
kama hoja ni usahili wa idara ya uhamiaji,je passport zinaruhusiwa kutumika kwenye usajiri wa laini?
 
anawa Halafu utakuta yeye keishajisali NIDA na line zake vilevile kisha anakuja kupumbaza wajinga waliojazana JF huku wakijifanya sana akili kuliko wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…