Pre GE2025 Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
mimi sarakasi najua lakini yule si mimi πŸ’
Sambasoti, shu-Fan, ishi, stua zote naruka mbaya sana aise πŸ’

Lakini pia kazi ya wananchi naifanya kwa bidii kabisaa...
Basi ndio wewe manake hata hilo jina lako asili yake ni kulee
 
ni kilio cha wananchi wenyewe na ni hitaji lao katika utumishi wa Jimbo πŸ’

ni kwa maslahi mapana ya wanainchi wa Jimbo langu na Taifa kwa ujumla πŸ’
Njoo nikuoe basi mama lake tule bata wote mrembo
 
Njoo nikuoe basi mama lake tule bata wote mrembo
kusema Ukweli wananchi wa aina yako wanapatikana majimbo mengi humu nchini, na niwananchi waliovurugwa kweli kweli na maisha na katika baadhi ya maeneo vimejengwa vituo vya usaidizi ili kujaribu kuwanusuru wasiharibike zaid πŸ’

Tatizo la afya ya akili ni dhahiri linasumbua vijana wengu πŸ’
Tutakusakudia kabla hujaharibika na maeneo mengine, jiweke wazi πŸ’
 
Basi ndio wewe manake hata hilo jina lako asili yake ni kulee
hapa sio suala la asili,
ni uwakilishi na utumishi wa wananchi kwa maslahi mapana ya wananchi na mustakabali wa maendeleo yao Jimboni πŸ’
 
Msalimie mzee wako!
Mzee wangu alishaenda zake, aliumaliza mwendo kitambo kidogo katika dunia hii.

Daima namuombea kwa Mungu apumzike anapostahili kwa Amani 🀭
 
Saß mbona umeingia humu na id bandia ?? Wewe ni sasaπŸ˜…πŸ˜…
 
Hili ni tapeli wala halina ubunge wowote
hayo ni maoni na mtazamo wako binafsi.

Ile muhimu ni hawa wananchi kupata huduma bora zaid za kijamii na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumiπŸ’

Hata hivyo si mbaya kuinjoy uhuru wa kutoa maoni kwa nafasi, lakini kazi ya kusukuma maendeleo ya wanainchi Lazima isonge mbele πŸ’
 
Saß mbona umeingia humu na id bandia ?? Wewe ni sasaπŸ˜…πŸ˜…
hapana,
Hakuna fake hapa na kwakweli ni jambo lisilo ruhusiwa popote πŸ’

huo ni upotoshaji wa wazi kabsaaa, na si sawa hata kidogo πŸ’
 
Yani mi nakuchumbia unasema afya ya akili?!!!! wee ka vipi njoo inbox tuyajenge mama lake, nataka nikuoe baby, uwe mke wangu sawa
 
Sawa kiongozi.Kidogo umeonesha busara katika kujibu ila hizo busara zitatue suala la umeme.Siyo mnakaa tu bungeni kupiga viti.
 
Sawa kiongozi.Kidogo umeonesha busara katika kujibu ila hizo busara zitatue suala la umeme.Siyo mnakaa tu bungeni kupiga viti.
Issue ya umeme ni ya Kitaifa,

Na tayari hatua kabambe za kisekta zimechukuliwa na kadiri muda inavyokwenda kazi muhimu zinatekelezwa usiku na mchana na hivi sasa likizo zote za wafanyikazi wa sekta hii zimesitishwa, na kwa muda usiokua mrefu jambo hili litakua solved na inchi itakua na umeme sio tu wa kutosha bali pia wa uhakika zaidi πŸ’
 
Kama uko CCM utabwagwa na ma CHADEMA! 2020 mlipita kwa mbinde!
 
Kwasababu hujasema ni Jimbo gani utatetea, basi wewe ni mpuuzi tu!
 
Hizo hela hatuzili ukipata hutufaidishi kwendra ji hawara zako tu ndio watafaidika ikute ni wao ndio wamekupa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…