Pre GE2025 Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vilio gani mwizi we
sauti na vilio vya wananchi kuhusu kuwaongoza tena kwa ngwe nyingine ya miaka mi5 hapo mbeleni...πŸ’

Na kazi ya maendeleo nitaifanya kwa moyo wote na bidii zaid pengine kuliko ilivyo kua vipind vilivyo pita ili hawa wanyonge waweze kunufaika na ile kazi ambayo serikali iliyopo madarakani inakusudia kwa waTanzania πŸ’
 
Hizo hela hatuzili ukipata hutufaidishi kwendra ji hawara zako tu ndio watafaidika ikute ni wao ndio wamekupa akili
suala la kula pesa na pengine kufaidisha hao ulowataja ni uchaguzi wa mtu kulingana na malezi ..πŸ’

Lakini kimaadili,
si sawa kwa kiongozi wa wanainchi kuwa mfujaji wa hela kwenye anasa πŸ’

kwa sisi tulipitia mafunzo ya maadili, weledi katika kazi na umakini katika kuamua mambo muda wa anasa unakua hakuna kabisa..
Ni kazi, kazi, kazi kwendra mbele πŸ’
 
Kwasababu hujasema ni Jimbo gani utatetea, basi wewe ni mpuuzi tu!
nashukuru kwa changamoto ya staha, haina shida,haidhur

Ila ile ya muhimu zaidi,
itoshe tu kusema nitatetea hii kiti uchaguzi ujao kulingana na maombi na matakwa ya wanainchi wa Jimbo langu, kusudi niwakamilishie yale mambo ya maendeleo ambayo tayari nilianza πŸ’
 
Kama uko CCM utabwagwa na ma CHADEMA! 2020 mlipita kwa mbinde!
niko tayari kwa changamoto ya hoja, mikakati na mipango ya wengine mbele ya wanainchi πŸ’

Na actually hiyo itaashiria uhai, ukomavu na kuimarika kwa Demokrasia nchini, lakini pia itachochea bidii zaidi katika kazi ya kuwaletea wanainchi maendeleo πŸ’

hakuna tatizo kwenye hilo yeyote awe huru, anakaribishwa sana kuja kunipa changamoto ili kuchochea ubunifu na ari zaidi ya maendeleo Jimboni πŸ’
 
Kuwaletea maendeleo wapi, mko pale kutetea matumbo yenu tu! Vitu vingapi vya kijinga mmepitisha bila kujali maslahi ya wananchi? Mbunge wa Tanzania mimi hawezi kuniambia kitu! Tena kama haya ya CCM ndiyo bure kabisa!
 
Hawezi taja jimbo huyo ametumwa kupima upepo na kauli za wadau
Uko sahihiπŸ’,

wadau ambao pia ni wananchi jimboni, wanakusudia kunituma kazi ya kuwawakilisha mjengoni awamu ijayo, lakini pia kuwakamilishia kazi kubwa na nzur sana ya maendeleo ambayo tayari tulikwisha ianza pamoja πŸ’

nafurahi uko na vision, unaona mbali.
Thank you πŸ’
 
Kuwaletea maendeleo wapi, mko pale kutetea matumbo yenu tu! Vitu vingapi vya kijinga mmepitisha bila kujali maslahi ya wananchi? Mbunge wa Tanzania mimi hawezi kuniambia kitu! Tena kama haya ya CCM ndiyo bure kabisa!
sasa ndugu yangu mwananchi,

mimi ni moja tu,
nawakilisha sehemu kidogo tu ya JMT. Kunibebesha lawama za jumla si sawa na sio sahihi. Japo ni haki na wajibu wa kila mtanzania kuwa huru kutoa maoni au mtazamo wake juu ya jambo Fulani πŸ’

hata hivyo,
kwa ujumla , licha ya changamoto ya kuondokewa na Rais wa inchi 2021, bado inchi ni tulivu, madhubuti, ulinzi na usalama ni wa kiwango cha juu sana.
Wakina mama, vijana na wazee wanaendelea na shughuli zao kujipatia kipato vizuri sana.
Kwasabb ya utulivu na mazingira mazuri, uwekezaji unaongezeka sana, kilimo, ufugaji na uvuvi vinaendelea kukua kwa kasi sana na uchumi wa nchi kuimarka pia πŸ’

Biashara, miundombinu na huduma muhimu sana za maji, afya,elimu na ujasiriamali vimeendelea kua kipaumbele nchini, na kazi nzur imefanyika na jitihada kubwa zaidi zinaendelea kufanyika kuboresha huduma hizi πŸ’
 
Zile nafasi zenu maalum si zipo?
 
Zile nafasi zenu maalum si zipo?
hii sio nafasi maalumπŸ’

wananichi wameniomba niwatumikie tena ngwe ijayo kama mbunge wa Jimbo.

maana yake tunashindanisha sera, mikakati na mipango ya mabadiliko na maendeleo na wawaniaji wengine wa vyama vingine mbele ya wananichi πŸ’

si kazi rahisi,
lakini kwa Neema na Baraka za Mungu yote yanawezekana.
Tuombee uchaguzi ujao uwe huru, wa haki na wa wazi zaidi.
 
Uongoo uongoo
 
Uongoo uongoo
huo ni mtazamo na maoni yako na uko huru kuyatoa πŸ’

lakini katika kazi za wananchi ili ufanikiwe vizur , Lazima kuwa na nidhamu ya fedha, maadili mema, weledi na siha njema. vitu ambavyo vimenisaidia kuaminika sana mpka hapa nilipofika hivi sasa πŸ’

Lakini pia subra na ustahimilivu wa kiwango cha juu sana ni muhimu kuwa nao.
Maana Kumbuka unawaongoza watu wenye IQ tofauti, shida na changamoto binafsi tofauti, elimu, uelewa na ufahamu tofauti.

kuna wanaotukana balaa, usipime 🀣

siasa ni kazi ngumu mno kwakweli, lakini ndicho tulichochagua kufanya, tunang'ang'ana nayo baraaabaraaa πŸ’
 
Aaah.... Lakini ninyi wanawake mkiwezeshwa mnaweza.
 
Aaah.... Lakini ninyi wanawake mkiwezeshwa mnaweza.
ninao baadhi wanainchi jimboni wa aina yako, ni wanainchi wangu, na ni binadamu, sina namna wala cha kuwafanya, Lazima kwendra nao kadiri ya hivyo walivyo, maana hakuna namna ingine πŸ’

kazi hizi za siasa ni ngumu sana ndrugo zangu, zinahitaji subra na ustahimilivu sana vinginevyo kazi itaharibika πŸ’
 
Umemaliza kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…