Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

Asante sana bro
 
Mimi ningekushauri kama una uwezo kaa ulee watoto wako ; lakini uwe na mwenza mnaependana wa kukusitiri.
Once beaten twice shy!
 
Ni kweli Kaka,asante sana
 
Sawasawa
 
Barikiwa sana mpenz🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Hapana Kaka ni moyo unamwitaji sema uoga tu wanisumbua
Kama hakuna anayefosi, fuata moyo wako unavyotaka. Ila muwekane wazi mapema kuhusu watoto ulionao. Maana kwa wanaume, kumuoa mwenye watoto hasa kama hujasema kabla, ni mtihani. Na hata kama atawakubali kama vile ni wake, bado tegemea upinzani hata ule mdogo sana.
 
Nimekuelewa mkuu.Asante nitazingatia
 
Anafahamu historian yangu yote mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…