Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

Sawa mkuu,asante sana
Kuna mmoja namkula shoo nae ameachika nimemwambia achana na habari za kuolewa, tafuta maokoto piga kazi, ntakupa Raha mpaka uanze kuwaona malaika wa angani hasa wale wekundu na weupe. Nikiwa namjaza pipe huwa ananiita jina wadii adii wadii wewe mtamu sana
 
Mwenyezi Mungu akubariki sana mkuu,asante sana
 
We nadhani tunawezana na mmi kama unataka kuwa mke wa pili njoo!! Naona tangu nikufahamu hatujawai pishana kauli
 
Kuna mmoja namkula shoo nae ameachika nimemwambia achana na habari za kuolewa, tafuta maokoto piga kazi, ntakupa Raha mpaka uanze kuwaona malaika wa ngoni hasa wale wekundu na weupe. Nikiwa namjaza pipe huwa ananitaka jina wadii wadii wewe mtamu sana
Sawa mkuu
 
Iko hivi,hakuna ndoa inayovunjika halafu ukataka kuingia katika mahusiano mapya bila ya hasa kujua ni nani kati yenu alikuwa mkosaji,najua nikikuuliza hilo swali utasema yeye ndio alikuwa na makosa,ila inawezekana kabisa wewe ndio ulikuwa mkosaji,kuna vitu ulivianzisha vikamfanya yeye kubadilika.Sasa kama una uhakika kweli kuwa yeye ndio alikuwa na makosa,ingia kwenye hiyo ndoa ila kama umetafakari na kujua wewe ndio ulikuwa na makosa unatakiwa ubadilike,maana huko unakoenda kama utaingia na gia zilezile ulizo tumia kule uhusiano utavunjika tena,na huyo unaemwita mpole akakubadilikia kuliko hata yule wa kwanza...
 
Siku zote watu huzani ndoa saikolojikali wanasahau kuwa ni taasisi kubwa ambayo lazima uijue Ato Z unapoingia katika ndoa lazima ukubali yote either kuw mjinga, kujishusha kwa mwenzio na uvumilivu hapo ndoa itaenda bila shak yeyote
 
Ndoa ni kwa ajili ya kulea watoto .

Maana mzazi anatazama taswira ya mtoto Ila mtoto hatazami taswira ya mzazi.

Kama umepata MTU ambaye anaweza kulea watoto wako vizuri na responsible father why you hesitate.?

UPENDO ni kupenda kila kitu na Ku-neutralized na hii ndo sifa kuu ya Mungu.

Kuwapa Mvua waovu Wicked na kuwapa mvua wenye haki righteous

Na mwisho ukisikia utayari kuanzia ndani yako Willingness basi fanya maamuzi .

Maisha kila MTU anaishi Ila sio kila MTU anapata ladha ya MAISHA.

Na ukipata ladha ya maisha maana yake unabidi kuwa karibu na watu positive ikiwemo Mme ambaye ni responsible Father.
 
Sawa mkuu,asante kwa ushauri
 
Siku zote watu huzani ndoa saikolojikali wanasahau kuwa ni taasisi kubwa ambayo lazima uijue Ato Z unapoingia katika ndoa lazima ukubali yote either kuw mjinga, kujishusha kwa mwenzio na uvumilivu hapo ndoa itaenda bila shak yeyote
Hakika bro
 
Kwanza pole, mtu mpaka kufikia maamuzi ya kutaka kukuuwa badala ya kuondoka na kukuacha, basi itakuwa alikuwa anakupenda ila ulikuwa unafanya vitu au kitu ambacho hakuwa anapendezwa nacho ila wewe ulikuwa una force uendelee nacho
Sijui ni nini ila kuna Red flag nyingi kwenye habari yako hii
Mwanaume akisema don't do it basi ana maana hiyo
 


Jitahidi, ila kwa umakini mkubwa, ukifika 40, uakuwa na uitaji sana na mwanaume, na chances za kumpata genunine ni ngumu.
 
Rafiki yangu kwanza ogopa mtu anaeonekana mwema ua mzuri!
There is always ugly side of a person.
Ijue kwanza hiyo ili ujue kama unaweza kuishi nae
 
Olewa bwana...ila hakikisha sio mume sio Marioo....

Ukija na laki ntakupa huduma ya ukungwi.....mie wari wangu hawaachikagi, muulize Lamomy nilivyomfunda hadi kaka aungu Kantri katulia🀣🀣🀣🀣
Teeeeeenaaaaah!! πŸ‘Œ
Kungwi afu wifi mbona pambe, pamoja na hekaheka zake kaka ako katulia ss hivi hapatoki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huna kazi mbovu kungwi umenipa nyago konkii..!!!
 
Natamani nicomment kwa Voice note. Pole sana cute.... Bado upo katika process ya kuheal, since you were the victim. Namna nzuri ya kuikabili hiyo fear ni kucommunicate na mwenza wako juu ya hiyo experience uone ana maoni gani juu ya hilo, I hope hautomficha kuwa uliwahi kuolewa before.

Kuna familia haziko welcoming, na kuna familia ziko welcoming, watakupokea na watawapa uhuru wa wewe na mwanaume wako kujenga mahusiano yenu bila kuwaingilia. Wakati ile ya kwanza mtaingiliwa na kuamuliwa kila step ya Maisha yenu as if ni teenagers. Na mara nyingi mtakuwa mnagombania nafasi. Kila mtu katika familia ya namna hiyo huwa bila wao kujua wanagombania nafasi ya kuwa "Mke" wa ndugu yao/mtoto wao. Ni Chaos, na wanawake tunatakiwa kuelewa hili, ndugu wa mume wasipokukubali ni suala la muda tu things will fall apart.

Binafsi, I dodged a bullet πŸ”« mahali fulani, relationship felt like nimebeba kitu kizito mabegani, nikaogopa naweza kuja kuwa single ndani ya ndoa nikabaki kukondeana. Kama ningejitia upofu kwasababu ya pesa ningekuja kulia kikwetu maana dalili zilikuwa wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…