Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

Tuanzie hapa.

Ugomvi na ndugu wa mume wako ulikuwa kisa nini?
 
Je sasa hivi mahusiano mapya bado unafosi kama yale ya awali?
 
Tuliiva ila ndugu hawakuiva hawakutaka Kabisa tuoane mkuu...tukaforce na ndoa ikafungwa
Hao ndugu sidhani kama ndio sababu ya nyie kutodumu , changamoto kama ulivyosema ilikuwa Kati yenu wawili, ndugu Wana mchango mdogo sana kwenye ustawi au anguko lenu, sehemu kubwa mlichangia wenyewe either kwa kujua au kutofahamu
 
Dada mzuri binti kiziwi kampa ushauri mzuri.

Kwakuongezea tu...
Watu hawafanani! Kama wanapendana, na mahusiano yao na familia zao sio mabaya asijinyime raha kisa tu alipata bahati mbaya huko nyuma.

Olewa zako mwaya To yeye ufurahie maisha!
Kuna mdau ana uliza, mbona huzeekiπŸ€“πŸ˜€πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Yupo jf??
Kama yupo mtag..

Nimefurahi sana kuona umeandika uzi leo ticha.

Hizi avatar zako bado naziunganisha kupata sura yako kamili, kesho badili uweke jicho jingine.
 
πŸ’―
 
Ni mtu mzuri na ni watu wazuri tu mkuu.Asante sana
Kama ni hivyo jitahidi u adjust kuendana na hiyo ndoa mpya.shida ni moja kubwa naiona kwako.
Hauna utayari hivyo utakata tamaa napema na kuachia ngazi pale inapotokea changamoto ndoani, maana sasa hivi kila ukiwaza moyoni unaguna mmmh!
wengi tunapitia hali hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…