kamwonyeshe huyo mume mtarajiwa kaburi la mzazi mwenza wa watoto wako,la sivyoYeah,nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....
Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.
Nina watoto wawili,nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭
Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.
Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Kamwonyeshe mume mtarajiwa kaburi la baba,wa watoto wako kwanza..ndio tuendelee na mipango mingine.Yeah,nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....
Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.
Nina watoto wawili,nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭
Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.
Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Nimeanza kuona wewe ni changamsha genge tu.Ualimu una pesa gani mkuu,japo ni kweli ulichosema
Beki wa kati?
Hahaha uyo anatafutaa bek anayekabia nyuma a.k.a kwa mama kibongeBeki wa kati?
Yaani ndugu anavunjaje ndoa ya watu wengine? Hii kitu huwa nashindwa kuelewa kabisa.Tuliiva ila ndugu hawakuiva hawakutaka Kabisa tuoane mkuu...tukaforce na ndoa ikafungwa
tatizo la walimu,wanamtriti mume kama mwanfunzi...Ualimu una pesa gani mkuu,japo ni kweli ulichosema
Kama ni Moja ya wale uliokuwa tumeweka kwenye waiting list, usije kujaribu hata siku Moja. Na kama hujampa tamu. Mtunuku na hapo utaanza kuiona rangi yakeAnanifahamu Kabla hata ya kuwa na watoto mkuu...na sijawahi ficha mtu kuhusu wanangu mkuu
tunateleza na kuanguka lakini hatubaki chini tuna nyanyuka na tunasnga mbele, kuna muda kusikiliza moyo wako nibvizur zaidi sema shirikisha na akili zifanye kazi pamoja
binadam hatufanani kama mtu ameona thaman yako mbariki hapo kati amiliki kihalali
Usiharibu matumizi ya neno Binti tafadhaliNampenda sana huyu Binti Yeye Mwenyewe anajua. [emoji1]
Bahati mbaya mhusika hayupo, ila utakuta huyu alikuwa na semina zisizoisha,ndugu walikuwa wakilazwa na yeye anaenda kuwauguza, mmewe akienda kuwajulia hali,alieambiwa amelazwa anamkuta shamba hana shida.Yaani ndugu anavunjaje ndoa ya watu wengine? Hii kitu huwa nashindwa kuelewa kabisa.
Huenda huyo mumewe wa zamani hana misimamo thabiti badala yake ni mtu wa kusikiliza ndugu na kufanyia kazi maelekezo yao.
Yaani mpendane kabisa halafu eti ndugu wasababishe mpeane talaka?
Big NO. Hata nyie hamkuwa na upendo wa dhati ndiyo maana ndugu wakawasambaratisha kiwepesi.
Wanyakyusa mna libido kali sana. Yaani show show tena za kibabe mnazipenda.Shida ndiyo hapa maana sex naipenda mkuu😒