Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.[emoji419][emoji375]
Shikilia hapo hapo.. Usiogope
 
kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.[emoji419][emoji375]
Shikilia hapo hapo.. Usiogope
 
Hahaha olewa weww acha uzinz

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Usiingie kichwa kichwa msome kwanza at least miaka miwili.
 
Kama wewe ni Mkristo. Na kama uliefunga nae ndoa yupo hai.

Kama sababu ya kuachana haikuwa uzinzi, nyie bado ni wanandoa.

Hivyo hata usiangaike na ndoa nyingine. Kwa sababu mtakuwa mnazini maisha yenu yote. Na utasumbua tu watoto.

Tofauti na hapo hiyo hofu iliyopo ndani kwako inakukumbusha kitu.
 
Penda Sana kuusikiliza Moyo Wako,,Ndio Ukweli wako dhabiti kabisa katika mustakabali wa maisha yako kiujumla Iwe kifikra,,,kimaono na kimtazamo na pia Kimwili,,,kinafsi na kiakili,,, Kwenye maisha haya kila mmoja ameumbwa na mtihani yake Fanya ya kwako,,,usifosi kufanya mitihani ya wengine utapotea,,"*Si kila kitu kwa ajili ya kila Mtu"". Luv you Ty💞💞💞
 
Lakini, usijifanye hujui wanawake wa siku hizi. Sio wote,lakini wapo. Kwenye uchumba,mnyenyekevu. Akishaolewa, utajua kumbe hujui. Bahati mbaya sana,uoe mwanamke anaekuzidi kipato! Enzi za mama na bibi,walijua wanachoenda kufanya. Unadhani migogoro haikuwepo? Leo hii,washauli wa ndoa ni mahawala. Unategemea nini! Hawala anajua mmeo hakulidhishi(ina maana mwanamke anajua ndefu,fupi,nyembamba, kibamia). Huyo anafaa kwa ndoa?
 
Mi nakuelewa.
Sio swala rahisi sana kwa mwanamke!
Wanaume rahisi kuingia mahusiano mapya na ndoa, kwa mwanamke ni changamoto.
Hasa kama umekaa tayari muda na umeshafanya vitu vyako ukiwa mwenyewe, umeshakuwa na uhuru wako mwenyewe.
Ku submit again , hasa baada ya your first submission kutokufanikiwa, Aseee uache kazi ufanye kazi!
Kuna sacrifices nying sana along the way ambazo, dah!
Sioni sana they worth the thing!
Japokuwa ni kweli unastahili mwenzi, unahitaji mwenzi, unatakiwa kuwa na mwenzi.

Haijalishi magumu yaliyopo kwenye mahusiano na ndoa, Bado Ndoa ni kitu chema sana!
Na wanaume na wanawake wema kuishi nao bado wapo!
Shughuli ni Haaaayo maamuzi ya kuvuka kufikia walipo!
Hapo ndo ngoma!
 
Am a scientist,naamini Kwa experiment!

"Anzeni kuishi pamoja Hadi miaka mitatu hadi minne!ili mzione nyufa za kujenga kati yenu!!

Kufunga ndoa hamjawahi ishi kinyumba hasa katika kipindi hiki ambacho Bikra za pande zote zilishaliwa na mchwa ni kujiandaa kufunga ndoa nyingine baada ya hii ya mwanzo kufeli!!

Mi naamini kuishi kwanza halafu taratibu ndoa ifuate sio ghafla bin vuu!!

Ukisha zaa au kuwa na watoto hutakiwi kuwa na hamu ya ndoa Bali kupata mwandani utakaemwamini wa kushirikiana magumu na mapito ya maisha coz unaweza fungal ndoa na mtu akawa sio mwandani wako yaani Kuna mapito au jambo fulani linalokutatiza huwezi mwambia!!

Muombe mungu akupatie wa aina hio sio wa kufunga nae ndoa TU ili uepe pressure ya ndugu na maoni ya kiroho!

Maoni ya kiroho katika ndoa tuliyonayo ni ya kufikirika TU!hayana uhalisia halisi,ndoa sio Ile unayofunga Bali maisha unayoishi na mtu Kila siku ndio ndoa halisi!

Msongo wa harusi,vyeti na maoni ya watu ndio chanzo Cha stress zinazobebwa na watu Kila siku!!!

Be a free man from this now,shinda dhana zote zinazo kufinyanga nafsini!!
 
Maswali specific
1. Mchumba amewahi kuoa?
2. Ana watoto na yeye?
3. Ndugu zake wanajua uliolewa? una watoto?
4. Watoto wako unaishi nao?
5. Baba wa watoto wako anashirikiana nawe malezi na huduma za watoto?
6. Una kipato cha kuweza kuhudumia watoto wako mwenyewe bila fedha ya baba yao?bila mchumba wako kusupport? Cases are wanaume huacha kuhudumia watoto pale mwanamke akiingia kwenye ndoa na mwanaume mwingine, na mwanaume aliyekuoa naye anaweza kusema hawanihusu. Lazima mama uwe ok financially.
7. Ndoa za aina hii mara nying sana MAPENZI PEKEE hayatoshi!
 
Tafuta mwanaume alietoka kwenye ndoa pia nahisi mtaendana zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…