nanyupu wanaume siku hzi wamekuwa adimu hawatongozi tena ! binafs siamin sana km upo serious na kunipenda ! kweli bwana hujakosea kuniita single maza ! sina mume achana na demi ,Neybright ,Cajojo shida yao wanataka niendelee kupauka tu ! watasema sana lakini ziba maskio !
nipo tayar ht kwa ndoa ya boman mkuu ! hata mwez ujao nippo tayar !nimechoka sana maisha ya upweke umekuja damu changa kwa muda muafakaa !njoo tujiachie ,twende beach kupunga upepo,tule maisha!
popote ulipo nanyupu jua nimekukubalia ombi lako ! umekuja muda muafaka na ada ya wanangu ya term ya 2 sikuwa nimeliipia asante ukaaye palipoinuka kuniletea mtu huyu !
tuanze kwanza na la school fees mengine yatafuata!
pia nina kabinti kameshavunja ungo december nataka kumcheza (baba alikua mzaramo kuchezwa lazima) hvyo uje pm tuanze maandalizi ya shughuli
NAKUPENDA nanyupu ! uwe na usk mwema
Niletee vifuatavyo baby;
zabibu,wine(nikuchomee nyama ),pure heaven,apples,asali,keki, eet sum more,blueband kubwa , icing sugar(nikupikie madikodiko ),sundrop,sukari,nido kubwa ,spices za chai,
na kiatu blak no 39 baby ! mid heel
trauza kiuno 34, asante jaman ! kweli OMBENI MTAPEWA!
Khaa haahahahahhananyupu wanaume siku hzi wamekuwa adimu hawatongozi tena ! binafs siamin sana km upo serious na kunipenda ! kweli bwana hujakosea kuniita single maza ! sina mume achana na demi ,Neybright ,Cajojo shida yao wanataka niendelee kupauka tu ! watasema sana lakini ziba maskio !
nipo tayar ht kwa ndoa ya boman mkuu ! hata mwez ujao nippo tayar !nimechoka sana maisha ya upweke umekuja damu changa kwa muda muafakaa !njoo tujiachie ,twende beach kupunga upepo,tule maisha!
popote ulipo nanyupu jua nimekukubalia ombi lako ! umekuja muda muafaka na ada ya wanangu ya term ya 2 sikuwa nimeliipia asante ukaaye palipoinuka kuniletea mtu huyu !
tuanze kwanza na la school fees mengine yatafuata!
pia nina kabinti kameshavunja ungo december nataka kumcheza (baba alikua mzaramo kuchezwa lazima) hvyo uje pm tuanze maandalizi ya shughuli
NAKUPENDA nanyupu ! uwe na usk mwema
ahahahaha kun harus jaman huwa najiuliza huyu biharus alijitizama uson ? hahahha dah mkuu we acha tu !nitakutaftia pic za kuchekesha za maharusi utacheka uzimie ! unapakwa marang rang km jini vile hahha linataka kutoa roho !lol
cc Nalendwa
Duh! Kirahisi hivyo??? Hakunaga!hahaaa,hivi kutongozana bado kupo kweli zama hiz? mimi nilijua hapa tumesha maliza kila kitu,kazi iliyo bakia ni mimi kuja PM tu kupanga appointment
Hahahahahaa we jamaa unachekesha sanahahaaa,hivi kutongozana bado kupo kweli zama hiz? mimi nilijua hapa tumesha maliza kila kitu,kazi iliyo bakia ni mimi kuja PM tu kupanga appointment
Wewe shem ukiona yuko kimiya jua niko nayeNaona tunapishana, ukiingia mi natoka.
Unadhan baby wangu ni wa kudanganywa kirahisi hivyo siyoMBITIYAZA najiandaa kukutafuta next month tukaliamshe dude achana na ma looser wewe unastahili vitu first class
Huyu ndugu yetu ni kiboko [emoji119] kajua kuorodhesha mahitaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😀😀😀 Sikuwezi!, hivi vyote ni juu ya fee na shughuli ya binti yetu..
Hakuna kwaito shunie, patakuwa na singeli biharusi kasemaMbiti hongera mamy usinisahau kwenye kwaito ujue
Woiiiii singeli tena atacheza na mumewe ujue upo Ney miss uHakuna kwaito shunie, patakuwa na singeli biharusi kasema
Miss you too shunie, nipo kule maeneo siku hizi hutaki kufika kabisa nimekuita mpaka basi nimeona na mimi nipite kimya kimya tuu mamy.Woiiiii singeli tena atacheza na mumewe ujue upo Ney miss u
Jamaan mamy yaan nimekuwa adimu siku hizi jf sijui ndio uhenga [emoji1]Miss you too shunie, nipo kule maeneo siku hizi hutaki kufika kabisa nimekuita mpaka basi nimeona na mimi nipite kimya kimya tuu mamy.
Ahahaaa pole mpenzi, kikubwa uzima mengine yote ya kawaida sanaJamaan mamy yaan nimekuwa adimu siku hizi jf sijui ndio uhenga [emoji1]
Kweli Ney wanguAhahaaa pole mpenzi, kikubwa uzima mengine yote ya kawaida sana