Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Tanzania ni nchi moja ya ajabu ambo watu wake wengi ni wabinafsi kupita maelezo, mwanzoni walimbeza sana Fernandez na hii naongea kwa experience Kuna ambao niliwauliza kuhusu Nala na Fernandez wakaishia kumbeza kwamba afiki Mahalia
Juzi jumanne ameraise USD million 10 inaweza ikawa ndo startup iliyo-raise ela nyingi Tanzania, lakin NALA wanapongezwa na wazungu na waafrika wengine wanaoishi nje ya Tanzania
Sijaona wale technology Guru waliompongeza NALA wengi wamekaa kimya as if hakuna kitu kilichotokea, point ni kwamba hawalazimishwi kumpongeza Ila kumpongeza ni sehemu ya professionalism na smartness
Benjamin Fernandez ametufundisha tuache udalali kama wanavyofanya lab nyingi za Tanzania Bali tuje na product, tusipoteze mda mwingi wa kuandaa events na kuzipa majina mazuri
Mfano ukiwaangalia
Sahara venture na branch zake
Smartlab
Dlab
Na wengineo wengi these people are just middleman (madalali) they say their create solutions but their aren't, ni ngumu sana kwa technology kuendelea kama tukiwa na madalali wengi ambao wako interested kuandaa events na sio kuja na product ambazo zitaitangaza nchi