Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Baba umeshahamisha goli tena? πππlissu anatafuta picha za kupeleka ughaibuni
Nakushauri tu kunywa Maji ulale, Lissu atakuua ndugu πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba umeshahamisha goli tena? πππlissu anatafuta picha za kupeleka ughaibuni
Unataka kusema MNA mpango wa kumfungia nje msiyempenda? Kwa nini msiwaache Wananchi waamue maana mlisema mnakubalika sana na mtashinda kwa 99.99% katika uchaguzi kama mlivyoshinda SM?Kiukweli nahisi wanamuacha tu kutokana na jicho la mabeberu lakini wanajua atakatwa mapeeema na NEC so tuendelee kuwa wapole we'll see any!.
Maandamano ya Mange Kimambi ulijificha chooni. Keyboard warrior!Bado mnaendelea na ramli zenu? Jaribuni kumkata tu. Tulizaliwa siku moja na tutakufa siku moja. Hapatakalika hapa Tanzania
Umesahau kuwa huyo Magu wako amekuwa akikusanya watu na kuwahutubia mikutano ya hadhara kwa miaka 5 mfululizo?Ndio umesikia popote Raisi Magufuli anajaza fomu kwa kupokelewa na misafara ya bodaboda na kuhutubia hotuba?
Embu achaga kumfananisha huyo muuza papuchi na Shujaa Lissu!!!Maandamano ya Mange Kimambi ulijificha chooni. Keyboard warrior!
Leo Sirro anahojiwa itv kaulizwa swali kwamba Lissu huyu keshafika na ulisema mnamfatilia mmefikia wapi? Majibu ya hapo jumlisha kigugumizi kujibu swali sioni fairness. Mpaka mtangazaji kacheka.
Nyomi zote za mijini tuEmbu achaga kumfananisha huyo muuza papuchi na Shujaa Lissu!!!
Kwanza umeona nyomi za Morogoro na Iringa leo???
Tarime ni mjini??? Bariadi ni Mjini??? Hai ni Mjini????Nyomi zote za mijini tu
Ukishaona NYOMI ya Lisu ya vijijini?
Anazurura mijini tu wakati asilimia 80 ya wapiga kura wako vijijini
Hizo picha zenu za mijini za Lisu sisi Wana CCM Wala hazitupi pressure jazeni mtakavyo
Mkuu huyo RPC wa morogoro ni bonge la gentleman, hana makuu kabisa na hiyo inatokana na either malezi au sehemu anayo toka maana jamaa ni mhaya.Nimefurahishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kutimiza wajibu wake bila upendeleo.
Leo kwenye hadhara ya kutafuta wadhamini mkoani Morogoro mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Bw. Tundu Antipas Lissu, askari wa Jeshi la Polisi walionekana wakiimarisha ulinzi na kuhakikisha Bw. Tundu Antipas Lissu anakuwa salama muda wote.
Mpaka hadhara inaisha, amani ilikuwa imetamalaki na hakuna vurugu zozote zilizotokea.
To be honest; from the bottom of my heart nalipongeza jeshi la polisi kwa fairness ya leo. Natamani na maeneo mengine ambayo bado Bw. Tundu Antipas Lissu hajapita, polisi waonyeshe fairness kama walioonyesha polisi wa Morogoro.
Kama hali ikiendelea hivi; uchaguzi utakuwa huru na wa haki na amani itazidi kudumu katika taifa letu.
Mungu awabariki polisi wote
Anakatwa kwa Sheria ipi ya Uchaguzi?Kiukweli nahisi wanamuacha tu kutokana na jicho la mabeberu lakini wanajua atakatwa mapeeema na NEC so tuendelee kuwa wapole we'll see any!
Ndio alienda tarimeTarime ni mjini??? Bariadi ni Mjini??? Hai ni Mjini????
kakojoe ukalale maana Naona Lissu amekuchanganya hadi hujielewi!!
Hahahaha kanywe maji ukalale. Tafsiri yako ya mjini na kijijini ikoje???Ndio alienda tarime. Mjini na Bariadi alienda Bariadi mjini Lisu amekuwa akizurura na fomu mijini tu ziara zote
Hujui mji niI Ipi na Kijiji Ni kipi? Lisu na mipicha yote mnajaza humu mnayootuletea Ni ya mijiniHahahaha kanywe maji ukalale. Tafsiri yako ya mjini na kijijini ikoje???
Na wewe unasubiri nini?Lissu anatafuta picha za kupeleka ughaibuni