Uchaguzi 2020 Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa 'fair play' ya leo kwenye mkutano wa Tundu Lissu mjini Morogoro

Uchaguzi 2020 Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa 'fair play' ya leo kwenye mkutano wa Tundu Lissu mjini Morogoro

Baada ya barua kutoka kwa wanasheria wa lissu, leo nawaona polis wakimlinda
 
Nyomi zote za mijini tu

Ukishaona NYOMI ya Lisu ya vijijini?

Anazurura mijini tu wakati asilimia 80 ya wapiga kura wako vijijini

Hizo picha zenu za mijini za Lisu sisi Wana CCM Wala hazitupi pressure jazeni mtakavyo

Hamna political strategy!!!!
Mwaka huu lazima mhamie kwenu Burundi
 
Nyomi zote za mijini tu

Ukishaona NYOMI ya Lisu ya vijijini?

Anazurura mijini tu wakati asilimia 80 ya wapiga kura wako vijijini

Hizo picha zenu za mijini za Lisu sisi Wana CCM Wala hazitupi pressure jazeni mtakavyo

Hamna political strategy!!!!
Utafiti wa TWAWEZA ulionyesha CCM inapendwa sana vijijini na kwny jamii za watu ambao hawajasoma/sio wasomi.
 
Ushoga pia ni UHURU wa mtu, kuvuta Bangi pia ni UHURU, kujaza wanafunzi pia ni UHURU, uhuru wowote lazima uwe na mipaka ili usiingilie uhuru wa mwingine
 
Mkuu huyo RPC wa morogoro ni bonge la gentleman, hana makuu kabisa na hiyo inatokana na either malezi au sehemu anayo toka maana jamaa ni mhaya.

Jamaa ni mstaarabu sana hapendagi mambo mengi. Namfananisha na RC wa Simiyu ndugu Anthony Uttaka kwa weledi wa kiutumishi.

Mtaka huyu wa Simiyu ambae Halima Mdee&Bawacha walikamatiwa mkoani kwake wkt wakifanya mkutano wa ndani?
 
Mdaiwa-Sugu,

Lissu Kama Lissu! Huyo ndo shujaa wa Tanzania ndugu. Utampenda tu kwa kweli. Kwa madini aliyotema Leo ya kuwajali watu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Najua tu maneno yaliwaingia vizuri sana leo hawa jamaa hadi wakaamua kumlinda leo. Huyo ndo Lissu ndugu, Rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nmeona kajitahidi kuongea, inaonekana ushauri wetu humu ameufanyia kazi!

Hivyo ndio inatakiwa! Siyo kila siku unashambulia Rais, hayo awaachie nyumbu wake kina Mmawia
 
Mtaka huyu wa Simiyu ambae Halima Mdee&Bawacha walikamatiwa mkoani kwake wkt wakifanya mkutano wa ndani?
Mkuu hakuna binadamu aliye perfect kwa 100%, tunaweza kusema yeye ni afadhali huwezi kumlinganisha na yule wa Iringa, Mbeya, aliye kuwa wa dsm, wa katavi
 
Back
Top Bottom