Uchaguzi 2020 Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa 'fair play' ya leo kwenye mkutano wa Tundu Lissu mjini Morogoro

Uchaguzi 2020 Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa 'fair play' ya leo kwenye mkutano wa Tundu Lissu mjini Morogoro

Wameshagundua kuwa wakizidisha kutumia nguvu kubwa, basi watawasha moto ambao itatumika nguvu kubwa kuuzima.
hizi bangi zenu ndio huwa zinafanya watu wanaonyesha makali yao, badala ya kushukuru ili kuzuia wasitende tena ujinga kwa aibu nextime. unajikuta nani sijui.

angalia sugu juzi, anabisha eti siendi[emoji3][emoji3][emoji3], halafu akapelekwa bila hata kukaza,. sasa sijui maana ya yeye kubisha ilikuwa ni nini!!!!
 
Leo Sirro anahojiwa itv kaulizwa swali kwamba Lissu huyu keshafika na ulisema mnamfatilia mmefikia wapi? Majibu ya hapo jumlisha kigugumizi kujibu swali sioni fairness. Mpaka mtangazaji kacheka.
Afande sirro asikubali kutumikishwa kisiasa akumbuke jukumu la kulinda usalama wa taifa hili lipo mikononi mwake. Kama jeshi la polisi likishindwa kutekeleza majukumu yake kwa weledi na kuendelea kukipendelea chama tawala; amani ya nchi yetu itakuwa mashakani
 
Wagombea wengine waliochukus fomu mbona hawatembei kama TL .?
 
Mdaiwa-Sugu,

Polisi wakiendelea kusimamia haya mambo kwa weredi kiasi hiki ,wakiweka msimamo kukataza maccm yasingize masunduku ya kura zilizopigwa kwenye polling stations itakuwa bonge la kitu.
Acha kulazimisha akili yako iamini kwenye kuiba kura in fact chadema mnajipa moyo tu but we all know what's going to happen in October.
 
Bado mnaendelea na ramli zenu? Jaribuni kumkata tu. Tulizaliwa siku moja na tutakufa siku moja. Hapatakalika hapa Tanzania.
Acha mikwara mbuzi we bibi, kama unajisikia kufa hata muda huu.

Kama ana sifa za kugombea hatakatwa na Kama hana sifa atafyekelewa mbali hakuna namna.
 
Debe tupu haliachi kutika wenzie wagombea wote fomu wanajaza kimya kimya yeye kelele haziishi!!!
kimya kimya amekuwa maiti.anatumia firsa hio kuwashukuru watz kwa maswaiba mliyomfanyia
 
Ndio umesikia popote Raisi Magufuli anajaza fomu kwa kupokelewa na misafara ya bodaboda na kuhutubia hotuba?
Sijaona. Ila namwona anavyonunua jogoo wa elfu kumi kwa laki moja..... anavyowataka wamama wapanuliwe....
 
Nimefurahishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kutimiza wajibu wake bila upendeleo.

Leo kwenye hadhara ya kutafuta wadhamini, mgombea urais kwa tiketi ya chadema, Bw. Tundu Antipas Lissu akiwa mkoani Morogoro, askari wa Jeshi la Polisi walionekana wakiimarisha ulinzi na kuhakikisha Bw. Tundu Antipas Lissu anakuwa salama muda wote.

Mpaka hadhara inaisha, amani ilikuwa imetamalaki na hakuna vurugu zozote zilizotokea.

To be honest; from the bottom of my heart nalipongeza jeshi la polisi kwa fairness ya leo. Natamani na maeneo mengine ambayo bado Bw. Tundu Antipas Lissu hajapita, polisi waonyeshe fairness kama walioonyesha polisi wa Morogoro.

Kama hali ikiendelea hivi; uchaguzi utakuwa huru na wa haki na amani itazidi kudumu katika taifa letu.

Mungu awabariki polisi wote
I think ilikuwa Moro tu
 
Umoja,Amani na mshikamano ni desturi ya Tanzania, Ila ukiona amani inavunjwa tambua kuwa Kuna roho zinawavaa wasiolitakia mema taifa la Tanzania
 
Back
Top Bottom