mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
hizi bangi zenu ndio huwa zinafanya watu wanaonyesha makali yao, badala ya kushukuru ili kuzuia wasitende tena ujinga kwa aibu nextime. unajikuta nani sijui.Wameshagundua kuwa wakizidisha kutumia nguvu kubwa, basi watawasha moto ambao itatumika nguvu kubwa kuuzima.
angalia sugu juzi, anabisha eti siendi[emoji3][emoji3][emoji3], halafu akapelekwa bila hata kukaza,. sasa sijui maana ya yeye kubisha ilikuwa ni nini!!!!