hizi bangi zenu ndio huwa zinafanya watu wanaonyesha makali yao, badala ya kushukuru ili kuzuia wasitende tena ujinga kwa aibu nextime. unajikuta nani sijui.Wameshagundua kuwa wakizidisha kutumia nguvu kubwa, basi watawasha moto ambao itatumika nguvu kubwa kuuzima.
Ndio umesikia popote Raisi Magufuli anajaza fomu kwa kupokelewa na misafara ya bodaboda na kuhutubia hotuba?
Afande sirro asikubali kutumikishwa kisiasa akumbuke jukumu la kulinda usalama wa taifa hili lipo mikononi mwake. Kama jeshi la polisi likishindwa kutekeleza majukumu yake kwa weledi na kuendelea kukipendelea chama tawala; amani ya nchi yetu itakuwa mashakaniLeo Sirro anahojiwa itv kaulizwa swali kwamba Lissu huyu keshafika na ulisema mnamfatilia mmefikia wapi? Majibu ya hapo jumlisha kigugumizi kujibu swali sioni fairness. Mpaka mtangazaji kacheka.
Keyboards worries ndio nini?? 🤣🤣Keyboards worries tu,
Kazi kuongea tu na kuandamana kwenye simu/laptop
Hawana wafuasi wanaona hata aibu kupita mitaani.Wagombea wengine waliochukus fomu mbona hawatembei kama TL .?
Acha kulazimisha akili yako iamini kwenye kuiba kura in fact chadema mnajipa moyo tu but we all know what's going to happen in October.Mdaiwa-Sugu,
Polisi wakiendelea kusimamia haya mambo kwa weredi kiasi hiki ,wakiweka msimamo kukataza maccm yasingize masunduku ya kura zilizopigwa kwenye polling stations itakuwa bonge la kitu.
Of course watu kama wewe ambao hamjielewi mtakufa siku moja😃.Bado mnaendelea na ramli zenu? Jaribuni kumkata tu. Tulizaliwa siku moja na tutakufa siku moja. Hapatakalika hapa Tanzania.
Ulivyoandika tu Nina mashaka na wewe Kama uko 100% mentally fit.Magu kavuja Sheria kila Kona,Hivi huyu mtu alikuwa Rais wa Nani?
Usilszimishe kikikuuma jifungie milango.Debe tupu haliachi kutika wenzie wagombea wote fomu wanajaza kimya kimya yeye kelele haziishi!!!
Wewe unayejielewa utakufa siku ngapi mkuu?Of course watu kama wewe ambao hamjielewi mtakufa siku moja😃.
Dr...una lako jambo si bure[emoji1544][emoji848][emoji2827]Warudie kule Hai ili polisi walinde
Acha mikwara mbuzi we bibi, kama unajisikia kufa hata muda huu.Bado mnaendelea na ramli zenu? Jaribuni kumkata tu. Tulizaliwa siku moja na tutakufa siku moja. Hapatakalika hapa Tanzania.
Wapi nilipolazimisha akili yangu ?Acha kulazimisha akili yako iamini kwenye kuiba kura in fact chadema mnajipa moyo tu but we all know what's going to happen in October.
kimya kimya amekuwa maiti.anatumia firsa hio kuwashukuru watz kwa maswaiba mliyomfanyiaDebe tupu haliachi kutika wenzie wagombea wote fomu wanajaza kimya kimya yeye kelele haziishi!!!
Sijaona. Ila namwona anavyonunua jogoo wa elfu kumi kwa laki moja..... anavyowataka wamama wapanuliwe....Ndio umesikia popote Raisi Magufuli anajaza fomu kwa kupokelewa na misafara ya bodaboda na kuhutubia hotuba?
I think ilikuwa Moro tuNimefurahishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kutimiza wajibu wake bila upendeleo.
Leo kwenye hadhara ya kutafuta wadhamini, mgombea urais kwa tiketi ya chadema, Bw. Tundu Antipas Lissu akiwa mkoani Morogoro, askari wa Jeshi la Polisi walionekana wakiimarisha ulinzi na kuhakikisha Bw. Tundu Antipas Lissu anakuwa salama muda wote.
Mpaka hadhara inaisha, amani ilikuwa imetamalaki na hakuna vurugu zozote zilizotokea.
To be honest; from the bottom of my heart nalipongeza jeshi la polisi kwa fairness ya leo. Natamani na maeneo mengine ambayo bado Bw. Tundu Antipas Lissu hajapita, polisi waonyeshe fairness kama walioonyesha polisi wa Morogoro.
Kama hali ikiendelea hivi; uchaguzi utakuwa huru na wa haki na amani itazidi kudumu katika taifa letu.
Mungu awabariki polisi wote
Mbona mnalia [emoji1781] thus earlyDebe tupu haliachi kutika wenzie wagombea wote fomu wanajaza kimya kimya yeye kelele haziishi!!!
Umoja,Amani na mshikamano ni desturi ya Tanzania, Ila ukiona amani inavunjwa tambua kuwa Kuna roho zinawavaa wasiolitakia mema taifa la TanzaniaNimefurahishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kutimiza wajibu wake bila upendeleo.
Leo kwenye hadhara ya kutafuta wadhamini, mgombea urais kwa tiketi ya chadema, Bw. Tundu Antipas Lissu akiwa mkoani Morogoro, askari wa Jeshi la Polisi walionekana wakiimarisha ulinzi na kuhakikisha Bw. Tundu Antipas Lissu anakuwa salama muda wote.
Mpaka hadhara inaisha, amani ilikuwa imetamalaki na hakuna vurugu zozote zilizotokea.
To be honest; from the bottom of my heart nalipongeza jeshi la polisi kwa fairness ya leo. Natamani na maeneo mengine ambayo bado Bw. Tundu Antipas Lissu hajapita, polisi waonyeshe fairness kama walioonyesha polisi wa Morogoro.
Kama hali ikiendelea hivi; uchaguzi utakuwa huru na wa haki na amani itazidi kudumu katika taifa letu.
Mungu awabariki polisi wote