Namanage Account za Forex

Kwanza ww sio trader ni mjaza Uzi tuh....ungekuwa trader ungeona risk to reward ratio pia ungeona bias ya mwelekeo wa pair husika afu pia ungenyamaza ukasubiria mwelekeo ndo uje uandike utopolo hapa...🀠
Charts zako chafu mkuuu kwan uongo
 
sikia dogo nikwambie achana na kumeneji acc zawatu nilifanya ivo nikaja kwamishwa na agent wa broker flan nilitoa mpnga wa wa2 hakuutuma alikujatumakwa mafungu aisee nilikwama nikajuta

sikia tatizo we ni mtaji ingia mtaa tafuta pesa nenda deposit 40€ trade hadi 200 then toa 100€ nunua acc Ftmo au myfxfunds

tradewise pass uwe funded utrade upate profit split nzuri, achan na pesa za watu

au njooshiriki Demo contest kila week ushinde 700$ kila week
 
Safii mawazo mazuri ni safi pia... appreciate...Siamini kwamba info kama hii haitamsaidia newbieπŸ˜‡stay blessed
 
Huja
nimemwaga Mchele kwenye kuku wengine tatizo wengine ni Bata tu
Hujamwaga chochote yote mbona yapo mtandaoni mkuu. Kwani lako jipya ambalo ume invert kweli.
Halafu trading sio kuwa na knowledge ama more indicators. Iko ivi elimu iliyoko hard wired opposite of what we are supposed to do.
Elimu iliyoko mtandaoni iko against na trading yenyewe ilivyo. Kama sio sahihi why failure rate Ni kubwa mno na huku hizo tools ziko free available mtandaoni na public for majority. No right information/knowledge out there.

Many we talk the talks because it feels pleasure to do so but few walk the walk
 
Mtandaoni hakuna information kama watu wanavyo amini kwamba we are now on the same walk nadhani
 
Sema Kuna Nini ambacho huwezi kukipata mtandaoni Mana Kama books PDF zipo kibao
Vingii....kama unahisi nadanganya attach pdf/$ ambayo itamfanya mtu aisome awe independent trader...πŸ€‘πŸ€‘
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona ume support nilichoandika? Sijui kitu kivipi ? Umekaa na mimi tukashare analysis? Kwanza kujua strategy na management ya account ni vitu viwili tofauti na hakuna high paying strategy eti strategy fulani na fulani itakupa majibu chanya πŸ˜„πŸ˜„ mtu anaweza kutumia support and resistance na usimfikie hata maana kujua strategy na management ya account ni vitu viwili tofauti.

Kingine ni kwamba kama hauna basic ya BTMM bado haujajiita trader believe me fuatilia ma mentors na traders wakubwa woote hiki kitu hawawezi kukwambia ila woote wana rely kwenye BTMM maana ndiyo inakupa mwangaza wa wapi soko linaenda .

Ukielewa vizuri BTMM kujua zones za demand and supply inakuwa childs play kwako .

Yoote uliyoaandika kuanzia risk management na position ina deppend mtu na mtu mfano kuna mtu hatumii stop loss kabisa ila wewe ukimuona na trading yake unaweza sema ni begginer hajui kitu?

Kingine kwenye mtaji unaeza anza na wowote na positions ukaweka zozote unazotaka deppend on your magin though itakuwa very risky kwa begginer ila fuatilia uone watu wanaanza hadi na 10 usd na wanaipandisha mpaka 10k ++ usd so ni experience ,foundation na mentality ya mtu ndo ina play part kubwa.
 
Hivi ni nani alinikebehi kuwa natumia broker mwenye leverage ya 1:3000 wabongo muwajuaji sana sometimes 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…