Wewe nawe hujui kabisa kitu.
Strategy Tatu zenye uweze kukupa matokeo chanya zote zimebase kwenye market structures.
1. Dow theory
2. Wyckoff theory
3. Eliott wave theory
Entry strategy
Supply and demand ni Best of the best sababu inakupa uwezo wa kukadiria precisely number of pips for SL and TP.
Supply and demand inakupa ubabe sokoni wa kutrade kama big banks (institutional strategy and smart money) wakati Gani wanaingia sokoni na wakati wa kutoka.
SR,TL,MAs, Fibonaccci tools hizi assistance tools tu sio za kuzitegemea sana.
Unaweza ukawa unajua hayo madude yote na still ukapigwa kama kawa sababu hujui risk management and position sizing.
Mtu ana kimtaji Cha dollar 200 anafungua order 5 za lot size ya 0.01 hii ni betting my friend.
Au ana kimtaji Cha dollar 2000 anafungua order 7 za 0.1 hii pia ni betting utapigwa tu utake usitake utakuwa emotions za ajabu sokoni. Once sokoni likianza enda ndivyo sivyo sababu ya earli entries utakata loss hadi hapo unapunguza mtaji utawipe account kwa staili hio
So risk management and position sizing itakufanya ujue ni kiasi gani utalose first hili ndio la msingi (ujue kwanza unataka lose kiasi gani mara nyingi ni 1%-2% ya account) then reward Yako itakuwa kiasi.gani.
Utaweka position Yako free out emotions utaenda mitikasi Yako kwako hizo strategy Zina accuracy kubwa kwa hakika utalipasua pasua soko.
Anyway nimemwaga Mchele kwenye kuku wengine tatizo wengine ni Bata tu wao Wanakula mavi na kunya uharo.
Forez is not for everyone. Usifate mkumbo.usiige kunya kwa tembo.