Namanage Account za Forex

first week with funded fTmo acc i need money let go all in
 

Attachments

  • 72F0BB06-4FED-42C8-9D3C-0C29E3B4491C.png
    29.8 KB · Views: 19
  • E43945CC-3204-448D-9379-291FEFB18CF8.png
    78.2 KB · Views: 21
  • 7D03D8AD-AD4C-4010-8C70-433BE0FBE1B1.png
    29.8 KB · Views: 16
  • 2A8FC0B0-1B3A-469B-9679-FA726C710068.png
    42.3 KB · Views: 19
Huyo Jeff ndio zake ukimbana kwa hoja ana kublock, nakumbuka 2017 nilichallenge ufundishaji wake na wale wasauz wake akanitoa kwenye group.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji404] Umetisha kiongozi
 
Kuna wale ambao wanataka kujifunza kuhusiana na hii biashara ya kubadilisha fedha za kigeni (FOREX)


Nimeandaa darasa mahsusi kwa ajili yao , unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na mimi kama wewe ni muhitaji , darasa ni la kulipia Ada kidogo , asikudanganye mtu hata mimi nililipia kujifunza , anayesema utajifunza Forex kwa maneno matupu au bure huyo ni muongo na hataki kuona wengine wanapiga hatua , Kwenye Forex mambo ya kujifunza ni mengi . Karibu PM darasa litaanza muda siyo Mrefu.
 

We umepiga hatua gani?. Me nawafahamu watu waliojifunza wao wenyewe kwa muda usiopungua five year na ni profitable traders
 
We umepiga hatua gani?. Me nawafahamu watu waliojifunza wao wenyewe kwa muda usiopungua five year na ni profitable traders


Kwa mtu mwenye shida hawezi kuuliza swali kama la kwako . hata mimi sikumuuliza mwalimu wangu kuwa Amepiga hatua gani ndio anifundishe . Nilichofanya ni kuingia darasani na kuna mambo nilijifunza , hata kama nimekuja kumzidi bado kuna mambo nisingeyajua bila yeye
 
Weka investor password ya account Yako tuone track record Yako ya angalau miezi 6
 
Huu ni uhakiki wa kishamba sana , kwa mfano akikupatia investor password ya mtu mwingine utajuaje ?
Kuna walimu wengi kwenye forex trading kuliko traders Wenyewe Sasa nipe sababu ya Kwanini nilipie darasa kwako na sio Kwa mentors wengine, n.b this is bussines nakukumbusha Ongea lugha ya kumshawishi mtu akupe Hela yake maana uchumi Wenyewe kama unavouona.. Aya Nakukaribisha[emoji120]

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…