Mwanampo
Member
- Aug 23, 2022
- 46
- 21
bado ni bearish DXY iko very strongPole. High time frame inaonesha ni side way with buying sentiment
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado ni bearish DXY iko very strongPole. High time frame inaonesha ni side way with buying sentiment
Huyo Jeff ndio zake ukimbana kwa hoja ana kublock, nakumbuka 2017 nilichallenge ufundishaji wake na wale wasauz wake akanitoa kwenye group.Hata hujawajua brokers wazuri bado unatumia Hawa wahuni mkuu. Hujajua vigezo vya broker mzuri Ila unadai kuwa wewe sio newbie mbona Kama hauna tofauti nao. Kujua ama kuwa na maarifa mengi kwa kumeza PDF sio kuwa ndio kuijua. Kuijua ingiza hela Benki. Ontario mwenyewe Kani block if baada ya kumshauri kuwa atuonyeshe na miamala ya benki yani trading account toa like $20k na benki tuione.
Mie Niko against na wote wanaichafua hii tasnia na kuweka kila kitu wazi bila ku sugar-coat
Unawatafunafirst week with funded fTmo acc i need money let go all in
Hivi hiyo ftmo inakuwaje mkuu na return yake ni vipi?first week with funded fTmo acc i need money let go all in
Hivi hiyo ftmo inakuwaje mkuu na return yake ni vipi?
UHivi hiyo ftmo inakuwaje mkuu na return yake ni vipi?
inarules nenda wachek wapo wengi googleHivi hiyo ftmo inakuwaje mkuu na return yake ni vipi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Me watching someone finding easy money to bet the whole fam in one trade ili akipata faida kubwa na yy share ya 50% ake iwe kubwa.Any way labda wewe huna lengo hili ila 99% ya wanaojidai wanamanage accounts ndo tabia zao,kuna jamaaa alikuwa anajiita Born to fx alichoma million za 2 mdada wa watu af akapotea kwa group yule sister akaleta mrejeshp kuwa atamloga na atapata ajari mbaya sana.Kweli dada akatimiza ahadi ake tushampoteza account manager mmoja.
###RISK MANAGEMENT
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji404] Umetisha kiongoziMe naona bwana manager apa ungefund account ako moja hata 10usd au 20usd wewe kama trader nadhani hushindwi hii hela alafu fungua uzi ukionyesha real progress unavoikuza hadi level flan hivi hata dola 500 kwa kufuata rules zako hivo hivo,atleast utakuwa umetoa walakini kwenye vichwa vya watu.Transparency matters
Lipi hilo my friend hakuna swali lenye manufaa sijajibu till now
Mganga wa aina hii ndio tunamhitaji, uhuni umezidi.Kuna trader mmoja kalogwa kafariki juzi alichoma million mbili za dada wa watu
RIP "Born to Fx"
Kuna wale ambao wanataka kujifunza kuhusiana na hii biashara ya kubadilisha fedha za kigeni (FOREX)
Nimeandaa darasa mahsusi kwa ajili yao , unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na mimi kama wewe ni muhitaji , darasa ni la kulipia Ada kidogo , asikudanganye mtu hata mimi nililipia kujifunza , anayesema utajifunza Forex kwa maneno matupu au bure huyo ni muongo na hataki kuona wengine wanapiga hatua , Kwenye Forex mambo ya kujifunza ni mengi . Karibu PM darasa litaanza muda siyo Mrefu.
We umepiga hatua gani?. Me nawafahamu watu waliojifunza wao wenyewe kwa muda usiopungua five year na ni profitable traders
Weka investor password ya account Yako tuone track record Yako ya angalau miezi 6Habari Wana jamii forums
Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi nitakapo maliza masomo, ndio nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017 ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali ili kupata ujuzi.
Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.
NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho
Karibuni nyote.
Weka investor password ya account Yako tuone track record Yako ya angalau miezi 6
Kuna walimu wengi kwenye forex trading kuliko traders Wenyewe Sasa nipe sababu ya Kwanini nilipie darasa kwako na sio Kwa mentors wengine, n.b this is bussines nakukumbusha Ongea lugha ya kumshawishi mtu akupe Hela yake maana uchumi Wenyewe kama unavouona.. Aya Nakukaribisha[emoji120]Huu ni uhakiki wa kishamba sana , kwa mfano akikupatia investor password ya mtu mwingine utajuaje ?