Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Yaani umempatia na Ni jobless Kama mie nnayetembea na vyeti baada ya chuo so nahitaji mseleleko. Nimemshauri acheki prop zipo nyingi mno nowdays Kama hazijui acheki ftmo,mff,n.k watampatia hela za manage Tena anachukua %age kubwa nadhani wanakupa mpaka 90% Kama gawio la mwezi wa tatu Kama profit sharing. Wewe unakuja kuhangaika na dola 200 ambayo Ni pip change kwa trader.Alafu tatizo lingine ni Mshamba🤣🤣🤣
Hahahahaha huyo Sir Jeff wao anawadanganya mnoo🤣🤣Asichojua ni kwamba profitable traders wanaangalia upuuzi wake hapa
Achana nae, ni mshamba alafu mjuaji.Yaani umempatia na Ni jobless Kama mie nnayetembea na vyeti baada ya chuo so nahitaji mseleleko. Nimemshauri acheki prop zipo nyingi mno nowdays Kama hazijui acheki ftmo,mff,n.k watampatia hela za manage Tena anachukua %age kubwa nadhani wanakupa mpaka 90% Kama gawio la mwezi wa tatu Kama profit sharing. Wewe unakuja kuhangaika na dola 200 ambayo Ni pip change kwa trader.
Huko wanampatia dola za kufa mtu hata $200k anazipata anameneji
Waambie waendelee kuangalia
Ushauri mzuri sanaa umempa🤣Mzeee we trade accounts zako tu.Ukikaza huna haja ya kumanage account za watu.Au fanya hivi tafuta broker mwenye anaruhusu multiple accounts af fungua nyingi anza kumanage zako mwenyewe
Namie nitaleta impact. Yaani naenjoi mno kuona mtu anadanganywa kitu unachokijua ama Kama kujua mbinu za mwizi kabla hajajua.Hahahhaha inshort wengi mnatumia mgongo wa "nasaidia ,naleta impact" uwongo mtupu.
Huyo jamaa akaandika vizuri mno,Mana forex sio kuwa na maarifa wengi wenye maarifa Ni waandika vitabu ama educatorsHahahhahahah
Kumbe unatumia brokers wanaotoa leverage hadi ya 1:3000 mzeee nishajua lengo lako.ukiona mtu anamtumia broker ana offer high leverage kama hiyo na anataka kumanage account kaaa chonjoExness na just forex naona wako fresh kwangu kutokana na instant withdrawal pia spread za exness zinanikwosha sana
Kwanza hata kama una ujuzi kama hujaweka hela huwezi kuchukua faida ya 50 kwa 50 pili tafuta kazi nyingine ili usije kugombana na watu kwa mambo yanayoepukika ushauri tuHabari Wana jamii forum Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa...na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi ntakapo maliza masomo, ndioo nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali...ili kupata ujuzi.
Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.
NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho
Karibuni nyote.
Hata hujawajua brokers wazuri bado unatumia Hawa wahuni mkuu. Hujajua vigezo vya broker mzuri Ila unadai kuwa wewe sio newbie mbona Kama hauna tofauti nao. Kujua ama kuwa na maarifa mengi kwa kumeza PDF sio kuwa ndio kuijua. Kuijua ingiza hela Benki. Ontario mwenyewe Kani block if baada ya kumshauri kuwa atuonyeshe na miamala ya benki yani trading account toa like $20k na benki tuione.Exness na just forex naona wako fresh kwangu kutokana na instant withdrawal pia spread za exness zinanikwosha sana
Huyu ni mtoa mada ana boost uziNtakutafuta mkuu toa na maelekezo ya kutumia broker gani mzuri kwako
Na ndio Mana alivyowataja nikamwambia bado Ni newbie ingawa anajifanya kuwa Ni guru. Hawajui hata brokers tu kwanza,Kumbe unatumia brokers wanaotoa leverage hadi ya 1:3000 mzeee nishajua lengo lako.ukiona mtu anamtumia broker ana offer high leverage kama hiyo na anataka kumanage account kaaa chonjo
Sure wanakulaga kisirisiri ili matajiri wawe wachache wapewe heshima zao na sio kila mtu awe tajiri kisa upendo,yaani matajiri hawana moyo mzuri Bali masikini ndio tuna moyo mzuri.Nimekwambia "either or" sasa kama umechagua hilo la utapeli it ok. All i can tell you is Grind in Silence. Kama kweli wewe ni serious and profitable trader usingethubutu kuja humu JF kutafuta Vichwa.
Know wat you know ujakatazwa kuwajua wanaotumia leverage ya 1:500 ni ww na skills zako tuh free industry tatizo 🇹🇿 much know weng hasa jf humuHata hujawajua brokers wazuri bado unatumia Hawa wahuni mkuu. Hujajua vigezo vya broker mzuri Ila unadai kuwa wewe sio newbie mbona Kama hauna tofauti nao. Kujua ama kuwa na maarifa mengi kwa kumeza PDF sio kuwa ndio kuijua. Kuijua ingiza hela Benki. Ontario mwenyewe Kani block if baada ya kumshauri kuwa atuonyeshe na miamala ya benki yani trading account toa like $20k na benki tuione.
Mie Niko against na wote wanaichafua hii tasnia na kuweka kila kitu wazi bila ku sugar-coat
Kabisaa... Na ukishaona mtu yuko busy mitandaoni ku show off kwamba yeye ni profitable trader basi ujue kuna tatizo🤣🤣Sure wanakulaga kisirisiri ili matajiri wawe wachache wapewe heshima zao na sio kila mtu awe tajiri kisa upendo,yaani matajiri hawana moyo mzuri Bali masikini ndio tuna moyo mzuri.
Sasa mkuu kama unadanganya na mtu anajua kitu akae kimya mzeee uibie watu wakuloge kama mwenzenu ufe.Mda mwingne ni huruma tu kuokoa maisha akoKnow wat you know ujakatazwa kuwajua wanaotumia leverage ya 1:500 ni ww na skills zako tuh free industry tatizo 🇹🇿 much know weng hasa jf humu