Namanage Account za Forex

Namanage Account za Forex

Alafu tatizo lingine ni Mshamba🤣🤣🤣
Yaani umempatia na Ni jobless Kama mie nnayetembea na vyeti baada ya chuo so nahitaji mseleleko. Nimemshauri acheki prop zipo nyingi mno nowdays Kama hazijui acheki ftmo,mff,n.k watampatia hela za manage Tena anachukua %age kubwa nadhani wanakupa mpaka 90% Kama gawio la mwezi wa tatu Kama profit sharing. Wewe unakuja kuhangaika na dola 200 ambayo Ni pip change kwa trader.
Huko wanampatia dola za kufa mtu hata $200k anazipata anameneji
 
Achana nae, ni mshamba alafu mjuaji.
 
Hahahhaha inshort wengi mnatumia mgongo wa "nasaidia ,naleta impact" uwongo mtupu.
Namie nitaleta impact. Yaani naenjoi mno kuona mtu anadanganywa kitu unachokijua ama Kama kujua mbinu za mwizi kabla hajajua.
Hakuna hela rahisi mdogo wangu mwambieni huyu dogo. Hao makampuni yenyewe yanayokupa hela zao usifanye kazi sio suala la kitoto usikute akashindwa huko anakuja kwa wajinga wachache Tena watatu na watapatikana
 
Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa...na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi ntakapo maliza masomo, ndioo nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali...ili kupata ujuzi.
Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.
NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho
Karibuni nyote.
Kwanza hata kama una ujuzi kama hujaweka hela huwezi kuchukua faida ya 50 kwa 50 pili tafuta kazi nyingine ili usije kugombana na watu kwa mambo yanayoepukika ushauri tu
 
Exness na just forex naona wako fresh kwangu kutokana na instant withdrawal pia spread za exness zinanikwosha sana
Hata hujawajua brokers wazuri bado unatumia Hawa wahuni mkuu. Hujajua vigezo vya broker mzuri Ila unadai kuwa wewe sio newbie mbona Kama hauna tofauti nao. Kujua ama kuwa na maarifa mengi kwa kumeza PDF sio kuwa ndio kuijua. Kuijua ingiza hela Benki. Ontario mwenyewe Kani block if baada ya kumshauri kuwa atuonyeshe na miamala ya benki yani trading account toa like $20k na benki tuione.
Mie Niko against na wote wanaichafua hii tasnia na kuweka kila kitu wazi bila ku sugar-coat
 
Kumbe unatumia brokers wanaotoa leverage hadi ya 1:3000 mzeee nishajua lengo lako.ukiona mtu anamtumia broker ana offer high leverage kama hiyo na anataka kumanage account kaaa chonjo
Na ndio Mana alivyowataja nikamwambia bado Ni newbie ingawa anajifanya kuwa Ni guru. Hawajui hata brokers tu kwanza,
Yaani Basi tu watu wanapigwa kwa kuwa wavivu wa kusoma Basi Wala hakuna jingine
 
Nimekwambia "either or" sasa kama umechagua hilo la utapeli it ok. All i can tell you is Grind in Silence. Kama kweli wewe ni serious and profitable trader usingethubutu kuja humu JF kutafuta Vichwa.
Sure wanakulaga kisirisiri ili matajiri wawe wachache wapewe heshima zao na sio kila mtu awe tajiri kisa upendo,yaani matajiri hawana moyo mzuri Bali masikini ndio tuna moyo mzuri.
 
Hata hujawajua brokers wazuri bado unatumia Hawa wahuni mkuu. Hujajua vigezo vya broker mzuri Ila unadai kuwa wewe sio newbie mbona Kama hauna tofauti nao. Kujua ama kuwa na maarifa mengi kwa kumeza PDF sio kuwa ndio kuijua. Kuijua ingiza hela Benki. Ontario mwenyewe Kani block if baada ya kumshauri kuwa atuonyeshe na miamala ya benki yani trading account toa like $20k na benki tuione.
Mie Niko against na wote wanaichafua hii tasnia na kuweka kila kitu wazi bila ku sugar-coat
Know wat you know ujakatazwa kuwajua wanaotumia leverage ya 1:500 ni ww na skills zako tuh free industry tatizo 🇹🇿 much know weng hasa jf humu
 
jesse-livermore-26015.jpg
 
Back
Top Bottom