grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Unatakiwa ufanye ku share na sisi account dertails zako both login na password itakuwa easy kukuangalia entries zako zote kisha mikataba mingine itafuata .Easy sana hili swala ko tunaanza soko kikifungua this week sio
Unataka free signal mzee au, strategy ni price action bots ndo nn na signal zimefanyajeUnatakiwa ufanye ku share na sisi account dertails zako both login na password itakuwa easy kukuangalia entries zako zote kisha mikataba mingine itafuata .
Na bado haujaniambia unatumia strategies gani, bots na signals zako.
Unatumia strategies zipi? Kati ya hiziUmesema vizuri ndomana kunasehemu niliweka wazi kwamba katika risk management tuna tumia 1:3 as minimum lakini strategy inaweza kukupa hata mpk 1:8 na kuendelea kulingana na analysis Yako....
Ana maanisha elezea unatumia strategy gan mkuu kama ni PA au botsUnataka free signal mzee au, strategy ni price action bots ndo nn na signal zimefanyaje
Amesema strategy ake inaweza mpa hadi 1:8 RR nahis anatumia Supply and demand (set and forget)Unatumia strategies zipi? Kati ya hizi
1.Falcon
2.BTMM
3.elliot waves
4.demand and supply
5.fibonacci
6.pure price action
7.support and resistance
8.top down analysis (multi time frame analysis)
9.candlestick patterns and market stracture .
10.breakouts
11.signals and bots (hii ni kwa ambao hawajui nini maana ya trade)
12.fundamental analysis and news dude?
Nope sidhani for supply and demand angepiga zaidi ya hapo itakuwa ni PRICE ACTION au support and resistance huyu bado kinda sanaAmesema strategy ake inaweza mpa hadi 1:8 RR nahis anatumia Supply and demand (set and forget)
Sasa nakupigaje we jamaa unajua hata jinsi process za kudeposit na kuwithdraw kweliUmesema ukiburn unarudisha asilimia 90% ya mtaji wa investor?,if you have ability to do so why not using that amount ambayo umetenga kwaajili ya kuwalipa investors incase umeburn accounts zao kufund your multiple accounts.
Pia kungekuwa kuna escrow labda kwamba iyo 90% ya my capital utakayo kuwa willing kunilipa ukichoma account ang imewekwa sehem inacase umechoma me naenda tu kuchukua hii labda ingemake sense kwamba kuna investor security.ila hii ya mdomo haipo hata kidgo.Hata siamini kwamba unaweza lipa iyo 90% labda ungekuwa registered na una insurance kama fund manager ila hizi janja janja ni kuvutia watu uwapige tu mkuuu
Be honest and real
AnhaaNi mixer topdown na price action
Una trade pair gani?Ni mixer topdown na price action
una tumia Timeframe gani kufanya entries mkuu?Soma uelewe #142 au ujui maana ya nakuendelea😊
You prove to me how dumb you areYoyotee yenye kujipendekeza
Ko wewe ni aina gani ya trader boss?