grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Unatakiwa ufanye ku share na sisi account dertails zako both login na password itakuwa easy kukuangalia entries zako zote kisha mikataba mingine itafuata .Easy sana hili swala ko tunaanza soko kikifungua this week sio
Na bado haujaniambia unatumia strategies gani, bots na signals zako.