Namanage Account za Forex

Namanage Account za Forex

Sasa mkuu kama unadanganya na mtu anajua kitu akae kimya mzeee uibie watu wakuloge kama mwenzenu ufe.Mda mwingne ni huruma tu kuokoa maisha ako
Fikiria unavyofikiria na huu Uzi siubadili wala ili mirejesho ije muumbuke.....
 
Fikiria unavyofikiria na huu Uzi siubadili wala ili mirejesho ije muumbuke.....
Hahahhah wewe weka profits zako hapa zatoka 2017 ili tuumbuke sasa hivi.Wengne tushazoea fedheha bwana manager.Kuna vitu havimake sense mkuuu unaambiwa uweke screenshoots ya profits unasema nikifake je ety labda niweke screenshoot ya charts.wee jamaaa bhna
 
If someone is telling/teaching you the way to get rich then you're his way of getting rich otherwise he would be busy getting/accumulating that wealthy.

Hata brokers wanaojidai eti wanafundisha Ni kukuvuta na kukuonyesha Kama unapendwa. Nashukuru I can smell fishy from a distant of Exa miles
Sasa kama ur smelling fishy kwann usisikie harufu Yako Mr😂😂
 
Hahahhah wewe weka profits zako hapa zatoka 2017 ili tuumbuke sasa hivi.Wengne tushazoea fedheha bwana manager.Kuna vitu havimake sense mkuuu unaambiwa uweke screenshoots ya profits unasema nikifake je ety labda niweke screenshoot ya charts.wee jamaaa bhna
Sijaja kubrag Mr amini kwamba
 
Myb as well Yan mm siwezii nikabadili mawazo Yako kaka kamwee
Trading sio mayai unavyodhania dogo. Lazima uwe kwenye kuisoma not less than 5-7 yrs baada ya hapo ufanye practice Tena real account so chini ya miaka jumla iwe kumi hapo angalau unaweza ukasema you know something.

Na bado sio guarantee ya kufanikiwa ,to be winning trader is easier ishu iko ipo consistency imenifanya mpaka Ontario awe educators and motivation speaker. Ana kozi anafundisha eti ya wanachuo wamemuomba Ada 70k.tena unaongea eti na assistance wake.
Trading Ni real sio easy yaani sio easy narudia.

Hata Ontario sio profitable trader ingawa kwa wingi ndio aliye expose wakati anawaleta wasauzi inaonekana hakuwa anaijua.
 
Sijaja kubrag Mr amini kwamba
Mzeee wewe umeweka tangazo hapa la kutaka watu.kwann taarifa zingne ukatoleee chemba mbona zingekuwa biashara zingne watu wanaweka all info hapa ili ikija kwenye fx taarifa zingbe hadi chemba.Wewe fx ymeijua juz tu hapa umetrade demo kidgo now unajiona kama guru ko unatafuta capital acha kujifanya kama unajua sana
 
Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa...na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi ntakapo maliza masomo, ndioo nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali...ili kupata ujuzi.
Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.
NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho
Karibuni nyote.
Naomba msijiunge nae

NAWAKATAZA kwa herufi kubwa.

Hana uzoefu wowote na soko na sio easy kama anavyodhani yeye.

Narudia tena Hela Yako kale supu au soda kwa mangi hii biashara haitaki partnership za kijinga kama hizi.

Utakuja jutia wewe utayejifanya kimbelembele ukaungana nae

Mtachapwa bakora ndefu sana na soko hadi.

Nimemaliza mwenye macho ya kusoma na asome.
 
Mzeee wewe umeweka tangazo hapa la kutaka watu.kwann taarifa zingne ukatoleee chemba mbona zingekuwa biashara zingne watu wanaweka all info hapa ili ikija kwenye fx taarifa zingbe hadi chemba.Wewe fx ymeijua juz tu hapa umetrade demo kidgo now unajiona kama guru ko unatafuta capital acha kujifanya kama unajua sana
Sawa kaka
 
Toa investor password ili tukuone kuanzia lini. Ama your trading account imefanyiwa audit na mamlaka gani ili tuone Kama unafaa kuajiriwa na jasho letu tunalofanya kazi linateremka mpaka mkunδυηi halafu ukazifanyie majaribio. Ogopa na heshimu jasho la wanaume wenzako Tena limetiririka mpaka huko mnudukuni wewe unataka ulilambe kirahisi utaweza kweli ndugu.
Tafuta Ajira upate pesa zako dumbukuza huko. Yaani huwa na blokiwa na wanges wengi mno.anaonyesha trades za ajabu namuomba za bank account Mana hata mie mt4 naweza nikakuonyesha nikakutamanisha ili nikuibie sema sipendi wizi..

Sijaja kubrag Mr amini kwamba
 
Naeza fake na ukaamini pia...hapa labda ntashare analysis tuh sio digits
Fanya hivi ingia fbs traders online website fungua demo account limit account yako iendane na real account nikimaanisha kwenye amount weka 50 usd kisha spread tumia 1:100 halafu share na sisi account dertails zako kisha tuta login kwenye mt4 zetu na wewe login kwenye yako kisha tutafuatilia tradings zako for the comming weeks kuanzia j3.

Kisha tukiridhika tunafund easy as that man show us what you've got through actions .

Na kama hautojali unaweza kuniorodheshea strategies unazotumia? Na kama unatumia bots au indicators ?
 
U
Fanya hivi ingia fbs traders online website fungua demo account limit account yako iendane na real accouht nikimaanisha kwenye amount weka 50 usd kisha spread tumia 1:100 halafu share na sisi account dertails zako kisha tuta login kwenye mt4 zetu na wewe login kwenye yako kisha tutafuatilia tradings zako for the comming weeks kuanzia j3.

Kisha tukiridhika tunafund easy as that man show us what you've got through actions .
UShauri mzuri sana huu
 
Back
Top Bottom