Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Labda anazo gambling insticts or get rich quick mentalityKama wewe ni " Full margin trader" labda hao brokers ni wazuri coz you are willing to bet the whole account
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda anazo gambling insticts or get rich quick mentalityKama wewe ni " Full margin trader" labda hao brokers ni wazuri coz you are willing to bet the whole account
Ndo mana anatafuta accountsLabda anazo gambling insticts or get rich quick mentality
Hahahhah wewe weka profits zako hapa zatoka 2017 ili tuumbuke sasa hivi.Wengne tushazoea fedheha bwana manager.Kuna vitu havimake sense mkuuu unaambiwa uweke screenshoots ya profits unasema nikifake je ety labda niweke screenshoot ya charts.wee jamaaa bhnaFikiria unavyofikiria na huu Uzi siubadili wala ili mirejesho ije muumbuke.....
Sasa kama ur smelling fishy kwann usisikie harufu Yako Mr😂😂If someone is telling/teaching you the way to get rich then you're his way of getting rich otherwise he would be busy getting/accumulating that wealthy.
Hata brokers wanaojidai eti wanafundisha Ni kukuvuta na kukuonyesha Kama unapendwa. Nashukuru I can smell fishy from a distant of Exa miles
Sijaja kubrag Mr amini kwambaHahahhah wewe weka profits zako hapa zatoka 2017 ili tuumbuke sasa hivi.Wengne tushazoea fedheha bwana manager.Kuna vitu havimake sense mkuuu unaambiwa uweke screenshoots ya profits unasema nikifake je ety labda niweke screenshoot ya charts.wee jamaaa bhna
Trading sio mayai unavyodhania dogo. Lazima uwe kwenye kuisoma not less than 5-7 yrs baada ya hapo ufanye practice Tena real account so chini ya miaka jumla iwe kumi hapo angalau unaweza ukasema you know something.Myb as well Yan mm siwezii nikabadili mawazo Yako kaka kamwee
Mzeee wewe umeweka tangazo hapa la kutaka watu.kwann taarifa zingne ukatoleee chemba mbona zingekuwa biashara zingne watu wanaweka all info hapa ili ikija kwenye fx taarifa zingbe hadi chemba.Wewe fx ymeijua juz tu hapa umetrade demo kidgo now unajiona kama guru ko unatafuta capital acha kujifanya kama unajua sanaSijaja kubrag Mr amini kwamba
Naomba msijiunge naeHabari Wana jamii forum Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa...na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi ntakapo maliza masomo, ndioo nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali...ili kupata ujuzi.
Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.
NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho
Karibuni nyote.
Haujajibu swali badoMm sio newbie ndugu...rules za risk management nazifahamu fika...
Sawa kakaMzeee wewe umeweka tangazo hapa la kutaka watu.kwann taarifa zingne ukatoleee chemba mbona zingekuwa biashara zingne watu wanaweka all info hapa ili ikija kwenye fx taarifa zingbe hadi chemba.Wewe fx ymeijua juz tu hapa umetrade demo kidgo now unajiona kama guru ko unatafuta capital acha kujifanya kama unajua sana
Sijaja kubrag Mr amini kwamba
Swali linasema "umejiandaaje kwenye risk? What if ukiburn account?Lipi hilo my friend hakuna swali lenye manufaa sijajibu till now
They don't consider negative side only positive.unaoa hujasema fumanizi utachukua hatua gani hakina njiaSwali linasema "umejiandaaje kwenye risk? What if ukiburn account?
Fanya hivi ingia fbs traders online website fungua demo account limit account yako iendane na real account nikimaanisha kwenye amount weka 50 usd kisha spread tumia 1:100 halafu share na sisi account dertails zako kisha tuta login kwenye mt4 zetu na wewe login kwenye yako kisha tutafuatilia tradings zako for the comming weeks kuanzia j3.Naeza fake na ukaamini pia...hapa labda ntashare analysis tuh sio digits
UShauri mzuri sana huuFanya hivi ingia fbs traders online website fungua demo account limit account yako iendane na real accouht nikimaanisha kwenye amount weka 50 usd kisha spread tumia 1:100 halafu share na sisi account dertails zako kisha tuta login kwenye mt4 zetu na wewe login kwenye yako kisha tutafuatilia tradings zako for the comming weeks kuanzia j3.
Kisha tukiridhika tunafund easy as that man show us what you've got through actions .