Namanage Account za Forex

Namanage Account za Forex

Hii kamari bado watu mnataka kuharibu pesa za watu, Ontario alivyo piga raia humu hawana hamu na forex.

Hamna pesa rahisi duniani
 
Sure basics zinakushinda dogo.

Komaa na mt4 hio upate Hela

Achana na Hela za watz watakuloga ufe.

Kuna mwenzako kafa juzi kati kisa hizi hizi akaunti za kumanage.

Jifunze ku customize tradingview kwanza na kutumia tools zake.

Halafu achana na indicators,robot na templates.

Jifunze market structures uwe mtabe.
We jamaa uko na unsound mind Nan anatumia hizo indicators, robots na uzwazwa sijui templets...we mbna ndo unasound kama umerogwa dog...🥱🥱
 
nina account ina floating $300+ na trades 5 zenye miezi miwili lot jumla 0.1
 
nina account ina floating $300+ na trades 5 zenye miezi miwili lot jumla 0.1
Unamaanishaje mkuu kwamba trade 5 zenye miezi miwili kwamba umehold kwa mda wanmiezi miwili ama
 
We jamaa uko na unsound mind Nan anatumia hizo indicators, robots na uzwazwa sijui templets...we mbna ndo unasound kama umerogwa dog...🥱🥱
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dogo huo ndio ukweli achana na takataka na Hela za watu watakufsnyizia shauri zako

Watu wamevurugwa na matozo Kila sehemu halafu unaleta mikato ya upigaji.

Utapigwa na radi ya jero mdogo wangu acha hizi mambo
 
  • Thanks
Reactions: 911
Not to b petty, lakini nkitafakri kwa mtu anaetrade since 2017, lazma sasa hivi amesha master trading to the highest level. Nnapoapata walakini n kwanin utafte kumanage account ya chini kuanzia 200 dollars,? Coz kwa experience ya 5 yrs in FX kutengeneza 200 usd per day ni kitu cha kawaida sana. Kwahyo business strategy yako inaleta walakini hasahasa in jf ambapo watu kibao washalizwa.
My idea is, fungua uzi mwingine ambao utatoa signals hadharani, and then investors will see how good you are and wataamua to invest in ur idea. Toafut na hapo n ngumu mtu kuweka pesa yake blindly.

Genius
 
Duuh kwa reply izi nan atakuja
Who cares trading is not for every Tom and Jerry 😊😊, we pita Uzi soma Cha kusoma get educated and motivated go find your skill sets and move on individually ⛹️
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dogo huo ndio ukweli achana na takataka na Hela za watu watakufsnyizia shauri zako

Watu wamevurugwa na matozo Kila sehemu halafu unaleta mikato ya upigaji.

Utapigwa na radi ya jero mdogo wangu acha hizi mambo
Saiv Niko rukwa huku na deal na mazao ningekuwa mpigaji ningesha pigwa hizo radi long time ago...ila naenda vijiji mbalimbali kama Chipu, Mpenje, Kazila, Mwazhe, Luwa n.k thinking is personal capacity siezi zuia mtu kifikiria atakavyo as long as nafsi yangu naiamini period.
 
Safi komaa huko huko tafuta hizo capital.

Njoo uwekeze mtaji wako kwenye soko.

Pesa Yako mwenyewe unakuwa na uhuru hata ukiwa over-do risk management au position sizing is just your damn money and nobody will question u.

Uhitaji gawana na mtu kilicho chako.

Achana na account management watz watu wabaya sana watakufanya uwe chizi mdogo wangu jamaa Hawa simile hata watujua umewatapeli kumbe soko limeenda ndivyo sivyo.

Utajitia matatani,utaipa industry another sifa mbaya,utaishi kama digidigi.

Account management zilimweka jamaa anaitwa Fransisco magnetics mahabusu na alikuwa profitable na kuanza kuishi forex lifestyle u know it.

Alikimbia mji na nchi maana wabongo walimsaka Kila kona.

Aliuuza asset zake kulipa madeni.

Siku hizi kapotea hajulikana alipo.

So mdogo wangu komaa na Hela zako achana Hela za watz Zina lawama.
 
Magnetics yupo Kigamboni mkuu...wenye nchi wanajua mbna sema wanajifanya hawajui watampa umaarufu wa bure na wao hawataki hizo
 
my view
 
Attachments

  • GBPJPY_2022-08-07_19-00-30.png
    GBPJPY_2022-08-07_19-00-30.png
    11.7 KB · Views: 18
Natoa nafasii ya kunijaribu kwa small account kabla ya kufund kiasi kikubwa pia.. naprove kwa actions sio fake screen shots
Kama ni mtaalam sana wa kumake money si ufanye wew na kaka zako na dada zako na ndugu zako ndugu yangu mpige hela
 
Kama umesoma btmm kwa watu 3 halafu bado umetema hili shudu basi jipige pige kifua sema 'mimi ni papasi mweupe mwenye kichwa kizito'

Pario maji wee
nimesoma btmm ,ict na situmiagi sana hizo mambolabda tu ema ya 800 kidogo naitumia kama last factors.

baba lao ni market structure mkuu unatumia brain na macho ni mwendo wa reasoning the market why?,how? can it be possible to break this level? and so on.. structures ndo king.
 
Out of this shit bse you shit yourself infront of traders. Big boys kama bankers wenyewe wanatumia indicators kama moving average halafu unatokea pimbi mweupe hapa unaongea ujuha.

Papasi mwekundu wee
Huwa nawaacha tu pimbi kama hao. Professional traders wengi hata kama anatumia price action kwa kiasi kikubwa bado huwa wanaindicator za kuwasidia ku-confirm hiyo price action. Not complicated indicators, they use mostly moving averages. That's all.
 
Back
Top Bottom