Namanage Account za Forex

Namanage Account za Forex

1661265448864.png
 
Kwa sababu noana imehit sl alafu unasema setup
setups =arrangement=assemble= unaweza panga kitu ukajua kiko sawa. akja mtu mwingine akakuambia umekosea.. sasa hapo unagundua setup yako haikuwa sahihi.. na kama asume akakuambia umepanga vizuri basi setup yako ilikuwa vizuri..

sasa boss nakuuliza , what do you understudy by the term setup??
tupe majibu ya kina mkuu. mi naona niko sawa
 
Kwa sababu noana imehit sl alafu unasema setup
bado nakuandikia lets learn through mistake.. huelewi tu unataka niandike insha? sisi huwa tunaongea kwa summary zaidi sio maneno mengi
 
Hehehehe Sasa kama sio indicators na robot ni Nini hasa kile

Ni takataka Ile

Pro traders huwa hawajiangaishi na hivyo vidude vinavyokuambis u buy au usell eti vikijikunja.[emoji1787][emoji2]

Pro traders chart kwao ni a,e.i,o,u yaani akitizama tu naked chart anajua soko linakwenda wapi na wapi sweke mitego abutue soko.

Ukishaanza sikia mtu anaongea sana kuhusu market makers Jua no coward Hana ujuzi wowote.

Ndio mnatishana huko vichochoroni kuwa market makers wanawala mitaji yenu ngama wakati hamjui rules za soko kwenda vile soko linavyoenda sio nyie mnavyotaka au sijui ki indicators kinawaambia m buy.

Aisee am out of this shit
Unaijua Forex, kwa nini upigizane kelele na watoto wa sec, ume xplain kama pro...
 
Back
Top Bottom