Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

Ni haki yake na yeye. Ni binadamu ana haki zote kama wengine.
 
Serikali wangeweka sheria kwa watumishi wa Tume ya uchaguzi kutokuruhusiwa kujiunga na chama chochote cha siasa kama ilivyo kwa CAG kutokuajiliwa sehemu yoyote baada ya ukomo wa kazi yake.!
 
Aliekuwa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ambaye alileta tafarani uchaguzi wa 2015 kwa kufuta uchaguzi wa zanzibar mwaka 2015 leo hii amechukua fomu ya kuutaka urais

Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wakurugenzi watatenda haki kweli? Kwani wote ni makada ukimjumlisha na yule alieteuliwa jana.

Huyu si walisema sijui kawaje? SHETANI MKUBWA, katili wa roho za uchaguzi
 
Kweli imeshidikana kuleta sheria ya kuvifuta vyama pinzani

Kwa haya ni dhahiri kunawatu wanahatarisha maisha sana . TZ wachawi ni sisi wananchi wenye kuamua.
 
Back
Top Bottom