Zanzibar 2020 Namba 26: Mwanamke wa tatu, Fatma Kombo Masoud achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

Kwani unaposoma palipoandiakwa Sultan of Zanzibar unafahamu nini,?!na unaposoma palipoandiakwa Zanzibar Empire unafahamu nini!?

Kulikuwa na msemo unaosema "Ngoma ikilia Zanzibar husikika Afrika nzima"...uthibitisho kuwa Dola ya Zanzibar ilikuwa na nguvu Duniani,ingia Google usome kuhusu Zanzibar na watu wake

Zanzibar ilikuwa sehemu ya Biashara Kama unavyoiona Dubai Sasa,kila Kitu kilikuwa ruksa,kuanzia biashara za Utumwa,pembe za ndovu,nk

Tangu Waafrika tumeichukua Zanzibar 1964, Zanzibar inadidimia kiutamaduni,Kiuchumi,Kimazingira,Kielimu,Kimaadili,nk

Zanzibar ni mfano mzuri kwamba Waafrika hatuwezi kujitawala,hatuwezi kujiongoza,na wewe ni mfano mzuri kuwa Waafrika Akili zao zimeganda,we are semi human hatujatimia
 
ila yakhe huu muuogano nyie ndo mwafaidi sana, yaani mwenye kidogo anaungana na mwenye kingi halafu nyote muwe sawa?!.
hebu ona wazenji mlivyojazana huku bara kufanya maisha mngebaki wote kule visiwani hali yenu ingekuwaje???.
na hapo mnapata haki ya kumiliki ardhi huku bara tofauti na mbara akija visiwani znz
 
Napoteza muda wangu tu hapa,uwe na siku njema!
 
Hawa wanaopiga kelele hivi wapo bara! Na hata muungano ukifa hawawezi kurudi,labda kwa nguvu!
 
Anayewaza kuwa Tanzania 🇹🇿 kuna demokrasia ni JPM,pekee wengine wote mnaota ndoto za alinacha, waacheni wa zenji wafurahie demokrasia ya nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…