chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Kwani unaposoma palipoandiakwa Sultan of Zanzibar unafahamu nini,?!na unaposoma palipoandiakwa Zanzibar Empire unafahamu nini!?Sasa si unaona hapo sultanate of Zanzibar.Hivyo ndivyo ilivyo.Sio wewe unavyotaka kutuaminisha hivyo.Halafu tupe uthibitisho kuonesha Dola ya Zanzibar ilikuwa ina nguvu duniani au labda hata ilishawahi shikilia biashara yoyote ukanda huu tofauti na biashara ya utumwa.Show us!
Kulikuwa na msemo unaosema "Ngoma ikilia Zanzibar husikika Afrika nzima"...uthibitisho kuwa Dola ya Zanzibar ilikuwa na nguvu Duniani,ingia Google usome kuhusu Zanzibar na watu wake
Zanzibar ilikuwa sehemu ya Biashara Kama unavyoiona Dubai Sasa,kila Kitu kilikuwa ruksa,kuanzia biashara za Utumwa,pembe za ndovu,nk
Tangu Waafrika tumeichukua Zanzibar 1964, Zanzibar inadidimia kiutamaduni,Kiuchumi,Kimazingira,Kielimu,Kimaadili,nk
Zanzibar ni mfano mzuri kwamba Waafrika hatuwezi kujitawala,hatuwezi kujiongoza,na wewe ni mfano mzuri kuwa Waafrika Akili zao zimeganda,we are semi human hatujatimia